Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
kama yangu nina HUAWEI hilo lenyewe kwanza ni powerbank piaMi natumia ya kuconnect kwenye power moja kwa moja inapiga mzigo 24/7.
model gani hiokama yangu nina HUAWEI hilo lenyewe kwanza ni powerbank pia
yaani hiyo ROUTER naweza tumia kama powerbank
unasahau hata siku 2 kama lina chaji fully mana battery lake ni 6600mahView attachment 2314479View attachment 2314480
nunua kama hii mkuu tena sasa hivi newversion zipo mpk 10000mah
Hapana mkuu. Router na dongle ni tofauti. Hiyo router uliyoweka pichani ina battery yake. So unapotumia powerbank ni kwamba unacharge hiyo battery.ndicho nilichoandika kwenye post kuu hiki...
sasa je hii haina madhara ? power bank itaweza kuipa moto hio wifi router kwa muda gani ?
HUAWEI mobile WiFi Pro2 E5885Ls-93a (global)model gani hio
Hii solar inaweza hudumia laptop 2 na TV?Nunua solar panel za kichina inakuja na kilakitu ndani hadi usb ya kuchaj hiyo wifi yako na redio na torch hiyo utaconnect direct hiyo mifi yako usiku inatumia battery ya sola mchana inachajiwa hapo utakuwa umekata mzizi wa fitina hizi zinauzwa elf 40
Bei yake ndefu sana hii, Laki 6 πππHUAWEI mobile WiFi Pro2 E5885Ls-93a (global)