Nataka kunyoa nyusi

Nataka kunyoa nyusi

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,857
Reaction score
3,593
Habari

Mimi ni mwanaume rijali lakini kisema ukweli mimi sipendi nyusi na nafikiria kwenda kuzinyoa.

Najua inaweza leta tafsiri mbaya lakini kwa kweli mimi nachukia nyusi ni bora tu nizitoe.
 
We nyoa tu ila unachokutafuta utakipata! Usije hapa kulia lia kwamba mabazazi wanakusumbuwa wakati ni ww mwenyewe unawaita!
 
Back
Top Bottom