Nataka kuoa albino

Nataka kuoa albino

DALALI MKUU

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2022
Posts
2,011
Reaction score
4,705
Weekend smart Wana JF

Moja kati ya ndoto zangu Mimi ni kuoa albino,Hawa watu Huwa wananivutia sana Kila ninapowaona, tatizo tu huku mijini daslam hawaonekani.

Kweli niliwahi kwenda kahama ila sikuambilia pia, leo hapa JF naomba kutangaza Rasmi Mimi DALALI MKUU nahitaji kuoa albino na kama nitakosa nitajiunga na wale wa kataa ndoa

Unaweza kushare nami kama ulishawahi kuwa nao kwenye mahusiano wakoje...

DALALI Mkuu Kinondoni Dar es Salaam Kwa Sasa safarini kilindi Tanga
 
Mkuu Dalali mfate huyo hapo ni Pisi kali ya Nigeria safari njema mkuu
images%20(5).jpg
 
1.Tafuta barua ya mtendaji wa mtaa
2.barua ya mtendaji kata
3.barua ya diwani
4.barua ya afsa uhamiaji
5.barua ya mkurugenzi wilaya
6.barua ya mkuu wa mkoa.
7.barua ya uthibitisho wa mahakama.

Ukishindwa hupati mke..
Unataka ukamfanye nini?
Kwann umuoe albino?

NB:KARIBU KWENYE UMOJA WA KATAA NDOA..

KATAA NDOA,NDOA NI UTUMWA
 
Mimi nikutakie heri ndugu yangu. lakini, kwa ninavyofahamu jamii zetu hapa tanzania bado kuna changamoto kubwa ya kuelewa namna gani ya kuishi na watu wenye ulemavu katika mahusiano.

Bado elimu ni ndogo juu ya hali mbalimbali sza ulemavu. mimi binafsi ni mtu asiyeona. kwa hiyo, .ninakupa uzoefu binafsi nioliyo nao.

Hivyo ni muhimu ukafahamu huyo mwenza unaetaka kuwa naye namna ya kuishi na changamoto zake za ulemavu na namna bora ya kuishi nazo,.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nasikia eti..! Albino huwa hawafi.. huooteaga tu. Kuna ukweli wowote, aiyewahi thibitisha hili!??
sio kweli juu ya habari hizi. binafsi ninawafahamu wengi tu ambao wemekwiwsha kufariki tayari. hizi ni baadhi ya imani potofu tu mkuu zilizojengeka toka zamani.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
1.Tafuta barua ya mtendaji wa mtaa
2.barua ya mtendaji kata
3.barua ya diwani
4.barua ya afsa uhamiaji
5.barua ya mkurugenzi wilaya
6.barua ya mkuu wa mkoa.
7.barua ya uthibitisho wa mahakama.

Ukishindwa hupati mke..
Unataka ukamfanye nini?
Kwann umuoe albino?

NB:KARIBU KWENYE UMOJA WA KATAA NDOA..

KATAA NDOA,NDOA NI UTUMWA
Huo umoja nafikiri kujiunga ila had nipigwe tukio
 
Back
Top Bottom