DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
sio kweli juu ya habari hizi. binafsi ninawafahamu wengi tu ambao wemekwiwsha kufariki tayari. hizi ni baadhi ya imani potofu tu mkuu zilizojengeka toka zamani.Nasikia eti..! Albino huwa hawafi.. huooteaga tu. Kuna ukweli wowote, aiyewahi thibitisha hili!??
Mkuu umeandika kuwa hauoni, je umewezaje kusoma na kuandika hapa JF, tafadhali naomba unipe elimu ama ujuzi huuMimi nikutakie heri ndugu yangu. lakini, kwa ninavyofahamu jamii zetu hapa tanzania bado kuna changamoto kubwa ya kuelewa namna gani ya kuishi na watu wenye ulemavu katika mahusiano...
Hapana MkuuUnataka kuwapiga mnada nn?
Mkristo Kwa kuzaliwaWewe dini gani nikupe connection
Hahah nipe connection nitakupa card ya mwaliko sio mchangoMkuu Dalali mfate huyo hapo ni Pisi kali ya Nigeria safari njema mkuu View attachment 2530659
Shida nn jamenπ π π π π au basi
Nasikia eti..! Albino huwa hawafi.. huooteaga tu. Kuna ukweli wowote, aiyewahi thibitisha hili!??
Huo umoja nafikiri kujiunga ila had nipigwe tukio1.Tafuta barua ya mtendaji wa mtaa
2.barua ya mtendaji kata
3.barua ya diwani
4.barua ya afsa uhamiaji
5.barua ya mkurugenzi wilaya
6.barua ya mkuu wa mkoa.
7.barua ya uthibitisho wa mahakama.
Ukishindwa hupati mke..
Unataka ukamfanye nini?
Kwann umuoe albino?
NB:KARIBU KWENYE UMOJA WA KATAA NDOA..
KATAA NDOA,NDOA NI UTUMWA