Nataka kuoa albino

Mkuu nashukuru kwa majibu yako, nimekuelewa kwa kiasi. Hili nielewe zaidi napaswa kuchunguza au kujua zaidi namna ya kutumia simu yangu, kisha nikipata maswali nitakurudia.
 
Okay hapo nimekuelewa vizuri sana.
 
Nilishakuwa nao, wana joto sana ila wanachubuka haswaa mpaka utawaonea huruma utashangaa umelowa damu
 
Kuna Albino yupo Buguruni anatafuta riziki kwa kuwahudumia madomo zege ningekupa connection ukaonje kwanza sema sikuamini unaweza mtoa kafara bure
 
Nasikia eti..! Albino huwa hawafi.. huooteaga tu. Kuna ukweli wowote, aiyewahi thibitisha hili!??
ilikuwa hv hapo zamani walikuwa wanauwawa kimya kimya na kuna baadhi ya ndugu walikuwa wanahusika yaan anachukuliwa kimya kimya lakini baadae mauwaji yao yaliingiliwa na watoto wadogo wasiojua kuficha ushahid ndo maana ukaanza kuona wanatumia nguvu nyingi mpaka wengine wanafikia kukata hata mkono

Zaman process zilikuwa zinafanyika hata kwa zaidi ya miaka 5 au 10 kwa kushirikiana na ndugu
 
Sorry,Kwahiyo mkuu wewe ni kipofu?2[emoji848]
 
Kuna Albino yupo Buguruni anatafuta riziki kwa kuwahudumia madomo zege ningekupa connection ukaonje kwanza sema sikuamini unaweza mtoa kafara bure
Nitatembelea hapo weekend hii
 
Aisee...
Hili huenda bado linaendelea kimyakimya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…