DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
- Thread starter
-
- #101
ondoa mashaka Mkuu, tusiwe na Imani za hivyo.Mkuu DALALI MKUU kuna binti mmoja mrembo na anajipenda kaenea kila idara. Kama upo serious naweza kuku connect nae isipokuwa asipatwe na majanga ya kutilia shaka juu ya uhai wake usije ukansababishia matatizo nikaingia hatiani.
Hiyo ni hatari sana Mkuu hata kama umepimaNdio mpime kwanza
😳😳😳😳😳Tyache imani hizo, Ni watu ambao ninawapenda ila sina bahati ya kukutana nao
Hongera nyingi mkuu! Naomba nikuulize tena inakuaje kama mtu kakuquote pia unabrowse vipi kwenye screen ya simu au computer?Watoto wangu ninaweza kuwatambua kwa kuwasikia sauti au nikiwagusa pale wanapokuwa karibu na mimi. kwa kifupi ni kwamba acha nikufahamishe kuwa unapopoteza uwezo wa kuona unapata nguvu kubwa ya kutumia masikio na maeneo mengine yenye hisia kwenye mwili wako. hasa ngozi. hivyo kwa watu kama sisi masikio ni kifaa kikubwa ambacho kinatusaidia. kwa karibu kila kitu mimi nikikusikia wewe kama mara tano siwezi kukupotea sauti yako. kabisa nimekuwa nikifundisha zaidi ya wanafunzi elfu moja mpaka sasa na karibu wote ninakumbuka sauti zao.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu DALALI MKUU kuna binti mmoja mrembo na anajipenda kaenea kila idara. Kama upo serious naweza kuku connect nae isipokuwa asipatwe na majanga ya kutilia shaka juu ya uhai wake usije ukansababishia matatizo nikaingia hatiani.
I agree with you 100%Watoto wangu ninaweza kuwatambua kwa kuwasikia sauti au nikiwagusa pale wanapokuwa karibu na mimi. kwa kifupi ni kwamba acha nikufahamishe kuwa unapopoteza uwezo wa kuona unapata nguvu kubwa ya kutumia masikio na maeneo mengine yenye hisia kwenye mwili wako. hasa ngozi. hivyo kwa watu kama sisi masikio ni kifaa kikubwa ambacho kinatusaidia. kwa karibu kila kitu mimi nikikusikia wewe kama mara tano siwezi kukupotea sauti yako. kabisa nimekuwa nikifundisha zaidi ya wanafunzi elfu moja mpaka sasa na karibu wote ninakumbuka sauti zao.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hisia zako tu, huo ni huovu kwa albino kama huovu mwingine wowote ule.Ni sawa na mlemavu kumwita kiwete au asiyeona kumwita kipofu hayo majina hayakubaliki kwa ulimwengu wa sasa, wape heshima yao.sijakuelewa Mkuu unaongea kama umepaniki sana
Nyie ndio munaendekeza Imani potofu Kwa hao watu, Kwan mtu kuoa albino haiwezekan? Au munaamini tu kwamba anaenda kumfanyia mabaya? TubadilkeUsithubuti mkuu chakumsaidia ni kumpa mbinu za kuweza kuwapata au kukutana nao hao albino lakin mambo ya kumconectia si kwaubaya ila sio mazur utakuja kuingia kwenye janga litakalo kugharimi maisha bila kumtegemea
Nilijibu hili swali post za nyuma angalia kuanZia post no31. Usipoelewa niambieHongera nyingi mkuu! Naomba nikuulize tena inakuaje kama mtu kakuquote pia unabrowse vipi kwenye screen ya simu au computer?
Uko sahihi ndivyo ilivyoI agree with you 100%
Zamani hizo za awamu ya mwisho ya Nyerere na awamu ya kwanza ya Mwinyi, nilishawahi kufundishwa na mwalimu asiyeona.
Yeye hata harufu na hatua za muondoko wako alikuwa anaweza kukufahamu mwanafunzi wake.
Kwann amsake hivyo ? Kuna nini nyuma yake kinachomsukuma ni nini? unajua kuwa wasiwasi ndio akili yenyewe?Nyie ndio munaendekeza Imani potofu Kwa hao watu, Kwan mtu kuoa albino haiwezekan? Au munaamini tu kwamba anaenda kumfanyia mabaya? Tubadilke
Kwan unafikir vitu vizuri vinapatikana kirahisi? Albino ni watu pia ni binadamu wenzetu kuwa na mawazo ya ajabu ajabu juu Yao ni aina nyingine ya uuaji wa manenoKwann amsake hivyo ? Kuna nini nyuma yake kinachomsukuma ni nini? unajua kuwa wasiwasi ndio akili yenyewe?
asante Mkuu soon nitaleta mrejeshoKila la kheri...
mkuu mimi shabiki wako
Wala hamna kitu aisee kama mimi navutiwa nao nlikuwa nataman tu hata nizae mtoto albino ila awe mschana ningemtunza mpaka dunia ijueKwann amsake hivyo ? Kuna nini nyuma yake kinachomsukuma ni nini? unajua kuwa wasiwasi ndio akili yenyewe?
Sawa twambie kinachokuvutia ni nini hasa, pamoja na hayo uchumba huwa ni siri kubwa , sasa wewe mpaka umetangaza kitakuwa na jambo.Wala hamna kitu aisee kama mimi navutiwa nao nlikuwa nataman tu hata nizae mtoto albino ila awe mschana ningemtunza mpaka dunia ijue