Watoto wangu ninaweza kuwatambua kwa kuwasikia sauti au nikiwagusa pale wanapokuwa karibu na mimi. kwa kifupi ni kwamba acha nikufahamishe kuwa unapopoteza uwezo wa kuona unapata nguvu kubwa ya kutumia masikio na maeneo mengine yenye hisia kwenye mwili wako. hasa ngozi. hivyo kwa watu kama sisi masikio ni kifaa kikubwa ambacho kinatusaidia. kwa karibu kila kitu mimi nikikusikia wewe kama mara tano siwezi kukupotea sauti yako. kabisa nimekuwa nikifundisha zaidi ya wanafunzi elfu moja mpaka sasa na karibu wote ninakumbuka sauti zao.
Sent from my SM-A107F using
JamiiForums mobile app