DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
- Thread starter
-
- #141
Niliahirisha ila mambo yakikatulia na serikali ikiweka mikakati dhabiti ya kualinda ndio nitarudi maana kwa hali ilivyo kwa sasa naweza ishia magerezaUlishafanikiwa au bado???
watu hawana jemaWatu wanataka kukutia matatani
unaweza kumlinda?Hata mimi napenda wanaume maalbino
Kama yupo humu anitafute
Kwani si unataka kuoa au una matumizi nae mengine 😁Niliahirisha ila mambo yakikatulia na serikali ikiweka mikakati dhabiti ya kualinda ndio nitarudi maana kwa hali ilivyo kwa sasa naweza ishia magereza
hii operesheni huwa ni kama mafuriko inaenda na wema na wabaya.Kwani si unataka kuoa au una matumizi nae mengine 😁
Kama ni kuoa kwanini ufungwe
Kazi ndogo hiyo🤸unaweza kumlinda?
IMESIHA HIYOKazi ndogo hiyo🤸
Babu zetu walitudanganya hivyo ili pindi wakiwaua kwaajili ya ushirikina wao, tudhani kuwa wamepotea.Nasikia eti..! Albino huwa hawafi.. hupoteaga tu. Kuna ukweli wowote, aiyewahi thibitisha hili!??
Aseee