Nataka kuoa albino

Nataka kuoa albino

Niliahirisha ila mambo yakikatulia na serikali ikiweka mikakati dhabiti ya kualinda ndio nitarudi maana kwa hali ilivyo kwa sasa naweza ishia magereza
Kwani si unataka kuoa au una matumizi nae mengine 😁

Kama ni kuoa kwanini ufungwe
 
Nasikia eti..! Albino huwa hawafi.. hupoteaga tu. Kuna ukweli wowote, aiyewahi thibitisha hili!??
Babu zetu walitudanganya hivyo ili pindi wakiwaua kwaajili ya ushirikina wao, tudhani kuwa wamepotea.
 
Back
Top Bottom