Nataka kuoa ifikapo mwakani. Naanzaje kujipanga na ndoa?

Mboka man

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
478
Reaction score
1,647
Kuna binti wa kisukuma nina mpango wa kumuoa na home kwao tiyari natambulika. Nipeni maujuzi ya kujianda na ndoa na maisha ya ndoa maana soon nataka nianze process za ndoa.

Kuhusu dini yeye Pentecosti na mimi Moroviani
 
Hakikisha una vitu muhimu kwako, mkeo akukute una kitanda, makochi n.k

Punguza idadi ya marafiki wasio wa lazima, yaani wale sijui masela wa kuja ghetto/home/maskani na wale wa mitoko kwenda kwenye gambe, kijiweni n.k

Mwisho, jitahidi kumfanya atayekuwa mkeo rafiki yako namba moja
 
Point ya muhimu n namba mbili tu hayo mengine unataka kusema hatuna au
 

Kwa lugha rahisi auze UHURU wake, mbona kama unazunguuukaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…