Nataka kuoa jini

MAJINI PIA YANA NDUDE MBILI SIKU UKIMZINGUA ANAKUBANDUA WEWE
 
ukichepuka tu umeuwawa
 
WE JAMAA HUJATULIA

1. KUMBUKA UKIOA JINI HAUTAKUWA NA MTOTO NA WALA HATORUHUSU KUOA MWANAMKE WA KUZAA NAYE
2. UTAAMRISHWA KUFUATA ANAYOTAKA YEYE TU (HAUTAKUWA MUME)
3. PESA UTAKUWA NAZO LAKIN MATUMIZI ANAPANGA YEYE (KUNA JAMAA ANA MKE JINI, AKIENDA ATM ANAFUATWA NA KUAMBIWA ATOE KIASI FLANI KWA KAWAIDA SI ZAIDI YA ELFU 50..)
4. MKIZNGUANA UNAKUWA KAPUKU NA MPAKA KUJA KUJITOA KWENYE KIFUNGO UMRI USHAENDA
5. HUWEZI KUISH NA JINI UKAENDA PEPONI

TAFUTA HELA MKUU, MITEREMKO SYO DILI.
 
MBONA WANATUELEZA MAJINI MENGINE HUENDA MISKITINI KUSWALI? NILIWAHI KUSOMA HUMU SADA KAMA NI HIVO SI WACHAMU8NGU? KWANINI BASI USIENDE PEPONI?
 

Mkuu vp ulifanikiwa uniunganishe na mimi huko ujininii!!?
 
Unasema jini litakulinda dhidi ya nguvu za Giza. Maana yake utalindwa na mfuasi wa Lucifer, kwa hiyo mlinzi wako atakuwa ni Lucifer. Tangu lini shetani akalinda Mtu?.Wewe hautalindwa ukiwa guru, Bali utalindwa ukiwa mfungwa na mateka. Kama unataka kuwa tajiri kwa njia ya kupewa pesa na majini, fahamu kuwa hautakuwa na raslimali , na pia jiandae kutolewa kafara, utakufa ghafla. Vile vile, ujue baada ya kufa sehemu yako ni ziwa la moto pamoja na shetani.
 
kwani wana k kama ya mtu au k zao zipo je... usije kuoa hewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…