Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukichepuka tu umeuwawaWakuu nina hamu sana ya kuoa jini
Sababu kuu zilizopelekea kufikia uamuzi huu ni hizi
1)Majini hayachepuki
2)Majini hayaombi hela
3)Majini hayana magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi
4)Majini yanajua kuhonga sana pesa So nitakuwa milionea kama Bakhresa
5)Nitakuwa nafanikiwa sana katika mishe zangu kama vile mitihani nitakuwa napasua saana kwa kuwa swali likinishinda mke wangu anakuja kunijazia
6)Nitakuwa na ulinzi popote pale niendapo kuanzia ulinzi wa ulimwengu wa giza mpaka ulimwengu wa nuru
Ulimwengu wa giza hapa namaanisha wachawi hawataweza kunifata hata kidogo na wakithubutu tu mke wangu atawamaliza
Ulimwengu wa nuru hapa namaanisha wezi ,majambazi nk hawataweza kunifanya chochote hivyo basi sitakuwa na haja ya kuajili watu wa ulinzi wala bodyguard wa aina yoyote ile
Pia kingine uzuri wa majini ni kuwa nikitaka kitendo cha unyumba nitakipata muda wowote ule ninao hitaji ,majini hayasumbui hovyo kugawa unyumba So ntaachoma zangu tu udi then naamuita mke wangu ananipa unyumba au lah ananibeba mpaka ujinini naenda kula vyakula vya kule ambavyo wenyewe waanaita Chane kiroho saafi yani
Naimani ndoto yangu ya kupata jini itatimia .
Dishi lake limeyumba mkuu..mzoee tuHuyu jamaa huwa simuelewi kabisa au ndio kusoma namba!!
MBONA WANATUELEZA MAJINI MENGINE HUENDA MISKITINI KUSWALI? NILIWAHI KUSOMA HUMU SADA KAMA NI HIVO SI WACHAMU8NGU? KWANINI BASI USIENDE PEPONI?WE JAMAA HUJATULIA
1. KUMBUKA UKIOA JINI HAUTAKUWA NA MTOTO NA WALA HATORUHUSU KUOA MWANAMKE WA KUZAA NAYE
2. UTAAMRISHWA KUFUATA ANAYOTAKA YEYE TU (HAUTAKUWA MUME)
3. PESA UTAKUWA NAZO LAKIN MATUMIZI ANAPANGA YEYE (KUNA JAMAA ANA MKE JINI, AKIENDA ATM ANAFUATWA NA KUAMBIWA ATOE KIASI FLANI KWA KAWAIDA SI ZAIDI YA ELFU 50..)
4. MKIZNGUANA UNAKUWA KAPUKU NA MPAKA KUJA KUJITOA KWENYE KIFUNGO UMRI USHAENDA
5. HUWEZI KUISH NA JINI UKAENDA PEPONI
TAFUTA HELA MKUU, MITEREMKO SYO DILI.
Wakuu nina hamu sana ya kuoa jini