Nataka kuoa jini

-panda kwanza mti wa mkungu nje kwako..
ukishapanda nijuze hapahapa live nikupe next stage..all the best..
 
Nilikuambiaga Acha Utoto dogo.

Unatia aibu mkuu.
Kama upo chuo duuuuuuu kazi kweli kweli.

Unawaza mambo ya ujinga(sio tatizo) tatizo ni kuyatoa mbele ya Halaiki. Kazi kweli kweli
 
Mpaka anajua navyakula vyao itakuwa na yy ni jini ndo mana anataka kuoa jini mwenzake
 
CCM sijui mtajibu nini mbele za Mungu kwa dhambi hizi,
 
Be careful with what your wishing for. Usiandike kitu kutufurahisha sisi Badae ukapata madhara ukiwa peke yako, sio kila member humu jf ni binadamu. NOTE THAT.
Na wewe unajuaje kama mm ni binadamu?

Acha umbeya wewe jali yako
 
Kwani ni lazima niamini unachoamini wewe?

Na pia ukisoma surat qafiroon wameeleza hivyo kwamba kila mtu abaki na dini yake

So usinifatilie mimi jali yako ndugu
 
Kama utaweza Fanya utaratibu wa kunitafuta nitakusaidia kwa ilo kwangu ni swala dogo ukitimiza vigezo na masharty
Utanisaidia bure au na hela?

Na kama hela inazidi lak5?

Je kuna kafara yoyote natakiwa kuitoa?
 
Nilikuambiaga Acha Utoto dogo.

Unatia aibu mkuu.
Kama upo chuo duuuuuuu kazi kweli kweli.

Unawaza mambo ya ujinga(sio tatizo) tatizo ni kuyatoa mbele ya Halaiki. Kazi kweli kweli
Fanya yako ndugu

Kwani umekuja JF kutafuta ya wenzako au kutafuta yanayokuhusu?
 
Ndio uache utoto dogo siku nyingine utaombwa 0713
Wewe ndiye mtoto na mawazo yako pia ya kitoto na ndio maana ukianzisha uzi haupati views wa kutosha walla replies za kutosha

So kubishana na mimi nitakuwa najishushia heshima

Mm nyuzi zangu zingine zina views mpaka 30K wewe ushawahi kufikisha??
 
Hahahahaa!!
Utoto raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…