Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakuu nina hamu sana ya kuoa jini
Sababu kuu zilizopelekea kufikia uamuzi huu ni hizi
1)Majini hayachepuki
2)Majini hayaombi hela
3)Majini hayana magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi
4)Majini yanajua kuhonga sana pesa So nitakuwa milionea kama Bakhresa
5)Nitakuwa nafanikiwa sana katika mishe zangu kama vile mitihani nitakuwa napasua saana kwa kuwa swali likinishinda mke wangu anakuja kunijazia
6)Nitakuwa na ulinzi popote pale niendapo kuanzia ulinzi wa ulimwengu wa giza mpaka ulimwengu wa nuru
Ulimwengu wa giza hapa namaanisha wachawi hawataweza kunifata hata kidogo na wakithubutu tu mke wangu atawamaliza
Ulimwengu wa nuru hapa namaanisha wezi ,majambazi nk hawataweza kunifanya chochote hivyo basi sitakuwa na haja ya kuajili watu wa ulinzi wala bodyguard wa aina yoyote ile
Pia kingine uzuri wa majini ni kuwa nikitaka kitendo cha unyumba nitakipata muda wowote ule ninao hitaji ,majini hayasumbui hovyo kugawa unyumba So ntaachoma zangu tu udi then naamuita mke wangu ananipa unyumba au lah ananibeba mpaka ujinini naenda kula vyakula vya kule ambavyo wenyewe waanaita Chane kiroho saafi yani
Naimani ndoto yangu ya kupata jini itatimia .
Upo kwenye balehe nn?Jeusii kama mkaa
UE umemaliza??Wakuu nina hamu sana ya kuoa jini

Sasa mambo yangekuwa mteremko hivyo si wote tungeoa majini,jiangalie Jo!Sio kweli
Silishangai sana wazo lako.Hilo jina lako HR 666 linaonyesha wazi kwamba inawezekana tayari una uhusiano na hayo madude na uko on duty kuwashawishi wanadamu wayaoe.Hata hivyo be careful,kwa kuwa unachokifanya ni against God's will na kuna hukumu mbaya na kali baadae.Wakuu nina hamu sana ya kuoa jini
Sababu kuu zilizopelekea kufikia uamuzi huu ni hizi
1)Majini hayachepuki
2)Majini hayaombi hela
3)Majini hayana magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi
4)Majini yanajua kuhonga sana pesa So nitakuwa milionea kama Bakhresa
5)Nitakuwa nafanikiwa sana katika mishe zangu kama vile mitihani nitakuwa napasua saana kwa kuwa swali likinishinda mke wangu anakuja kunijazia
6)Nitakuwa na ulinzi popote pale niendapo kuanzia ulinzi wa ulimwengu wa giza mpaka ulimwengu wa nuru
Ulimwengu wa giza hapa namaanisha wachawi hawataweza kunifata hata kidogo na wakithubutu tu mke wangu atawamaliza
Ulimwengu wa nuru hapa namaanisha wezi ,majambazi nk hawataweza kunifanya chochote hivyo basi sitakuwa na haja ya kuajili watu wa ulinzi wala bodyguard wa aina yoyote ile
Pia kingine uzuri wa majini ni kuwa nikitaka kitendo cha unyumba nitakipata muda wowote ule ninao hitaji ,majini hayasumbui hovyo kugawa unyumba So ntaachoma zangu tu udi then naamuita mke wangu ananipa unyumba au lah ananibeba mpaka ujinini naenda kula vyakula vya kule ambavyo wenyewe waanaita Chane kiroho saafi yani
Naimani ndoto yangu ya kupata jini itatimia .
Kabisa mkuu maana kuna uz hapa alidai anawachukia wanawake wote " acha achukue fulsa [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Acheni wivu acha kijana abadilishe mazingira
holiday ishaanza ndo maana basi ni shida tupu humuuu!Yuko holiday ya wiki 3 kuanza semister nyingine bas humu ndani ni shida tupu