Nataka kuoa jini

Nataka kuoa jini

ha ha ha haaaa hii ndo jamii forum bwana, full raha tu coz kwetu hakunaga kununa
 
Sio mbaya si unatoka huko huko we member wao check hata avatar yao
 
Wakuu nina hamu sana ya kuoa jini
Sababu kuu zilizopelekea kufikia uamuzi huu ni hizi

1)Majini hayachepuki

2)Majini hayaombi hela

3)Majini hayana magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi

4)Majini yanajua kuhonga sana pesa So nitakuwa milionea kama Bakhresa

5)Nitakuwa nafanikiwa sana katika mishe zangu kama vile mitihani nitakuwa napasua saana kwa kuwa swali likinishinda mke wangu anakuja kunijazia

6)Nitakuwa na ulinzi popote pale niendapo kuanzia ulinzi wa ulimwengu wa giza mpaka ulimwengu wa nuru

Ulimwengu wa giza hapa namaanisha wachawi hawataweza kunifata hata kidogo na wakithubutu tu mke wangu atawamaliza

Ulimwengu wa nuru hapa namaanisha wezi ,majambazi nk hawataweza kunifanya chochote hivyo basi sitakuwa na haja ya kuajili watu wa ulinzi wala bodyguard wa aina yoyote ile

Pia kingine uzuri wa majini ni kuwa nikitaka kitendo cha unyumba nitakipata muda wowote ule ninao hitaji ,majini hayasumbui hovyo kugawa unyumba So ntaachoma zangu tu udi then naamuita mke wangu ananipa unyumba au lah ananibeba mpaka ujinini naenda kula vyakula vya kule ambavyo wenyewe waanaita Chane kiroho saafi yani

Naimani ndoto yangu ya kupata jini itatimia .

[emoji115][emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
UE umemaliza??
 
uyu jamaa me simuelewi kabisa

alikuwa na sup 5 kama sikosei

mara kun demu alimmaind club

leo anataka kuoa jini duuuh
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].... mimi nahisi uyu jamaa amelala. Oyaaa malizia kuota iyo ndoto halafu ukishaamka uje ufute hii thread yako.
 
Wakuu nina hamu sana ya kuoa jini
Sababu kuu zilizopelekea kufikia uamuzi huu ni hizi

1)Majini hayachepuki

2)Majini hayaombi hela

3)Majini hayana magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi

4)Majini yanajua kuhonga sana pesa So nitakuwa milionea kama Bakhresa

5)Nitakuwa nafanikiwa sana katika mishe zangu kama vile mitihani nitakuwa napasua saana kwa kuwa swali likinishinda mke wangu anakuja kunijazia

6)Nitakuwa na ulinzi popote pale niendapo kuanzia ulinzi wa ulimwengu wa giza mpaka ulimwengu wa nuru

Ulimwengu wa giza hapa namaanisha wachawi hawataweza kunifata hata kidogo na wakithubutu tu mke wangu atawamaliza

Ulimwengu wa nuru hapa namaanisha wezi ,majambazi nk hawataweza kunifanya chochote hivyo basi sitakuwa na haja ya kuajili watu wa ulinzi wala bodyguard wa aina yoyote ile

Pia kingine uzuri wa majini ni kuwa nikitaka kitendo cha unyumba nitakipata muda wowote ule ninao hitaji ,majini hayasumbui hovyo kugawa unyumba So ntaachoma zangu tu udi then naamuita mke wangu ananipa unyumba au lah ananibeba mpaka ujinini naenda kula vyakula vya kule ambavyo wenyewe waanaita Chane kiroho saafi yani

Naimani ndoto yangu ya kupata jini itatimia .
Silishangai sana wazo lako.Hilo jina lako HR 666 linaonyesha wazi kwamba inawezekana tayari una uhusiano na hayo madude na uko on duty kuwashawishi wanadamu wayaoe.Hata hivyo be careful,kwa kuwa unachokifanya ni against God's will na kuna hukumu mbaya na kali baadae.
 
"sumu ya teja segerea.. "[emoji445] ..Haka ka wimbo bhana.. Raha sana
 
Back
Top Bottom