Nataka kuoa jini

mkuu siku hizi unapuliza cha wapi naona siku zinavyozidi kwenda nawe ndo unavyozidi kudata
 
Nimegundua kitu kimoja hun jf.... Ukiandika jambo la maana watu hawachangii... Lakini heb Andika upuuzi... Utashangaa ...hii sijui maana yake nn?
 
Nilichokiandika ni cha maana au sio cha maana?
Siwezi kukuhumu maana sikujui undani.... Ila jambo moja ninalosemea ni hao wachangiaji.... Ninaamini wengi hawana elimu ya majini... Wanaropoka tu... Siku mmoja wapo akipatwa na malaria tu atasema ana jini... Ha ha ha.
 
We unastress na wanawake ukishampata jini ukawa naela utaona watoto wazuri wa binadamu utadata maana hiyo ndo asili yko na ndo utakapo kufa.jini huwezi kula nae bata physicaly na do utakacho miss
 
JE LIKIWA NA JICHO MOJA KATIKAI YA KICHWA NA MGUU MMOJA UTALIKUBALI? MAANA NASIKIA WENGINECWAPO HIVYO
 
Usiwe kama Daudi Bashite yakakushinda mbele ya safari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…