Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilichokiandika ni cha maana au sio cha maana?Nimegundua kitu kimoja hun jf.... Ukiandika jambo la maana watu hawachangii... Lakini heb Andika upuuzi... Utashangaa ...hii sijui maana yake nn?
Siwezi kukuhumu maana sikujui undani.... Ila jambo moja ninalosemea ni hao wachangiaji.... Ninaamini wengi hawana elimu ya majini... Wanaropoka tu... Siku mmoja wapo akipatwa na malaria tu atasema ana jini... Ha ha ha.Nilichokiandika ni cha maana au sio cha maana?
We unastress na wanawake ukishampata jini ukawa naela utaona watoto wazuri wa binadamu utadata maana hiyo ndo asili yko na ndo utakapo kufa.jini huwezi kula nae bata physicaly na do utakacho missWakuu nina hamu sana ya kuoa jini
Sababu kuu zilizopelekea kufikia uamuzi huu ni hizi
1)Majini hayachepuki
2)Majini hayaombi hela
3)Majini hayana magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi
4)Majini yanajua kuhonga sana pesa So nitakuwa milionea kama Bakhresa
5)Nitakuwa nafanikiwa sana katika mishe zangu kama vile mitihani nitakuwa napasua saana kwa kuwa swali likinishinda mke wangu anakuja kunijazia
6)Nitakuwa na ulinzi popote pale niendapo kuanzia ulinzi wa ulimwengu wa giza mpaka ulimwengu wa nuru
Ulimwengu wa giza hapa namaanisha wachawi hawataweza kunifata hata kidogo na wakithubutu tu mke wangu atawamaliza
Ulimwengu wa nuru hapa namaanisha wezi ,majambazi nk hawataweza kunifanya chochote hivyo basi sitakuwa na haja ya kuajili watu wa ulinzi wala bodyguard wa aina yoyote ile
Pia kingine uzuri wa majini ni kuwa nikitaka kitendo cha unyumba nitakipata muda wowote ule ninao hitaji ,majini hayasumbui hovyo kugawa unyumba So ntaachoma zangu tu udi then naamuita mke wangu ananipa unyumba au lah ananibeba mpaka ujinini naenda kula vyakula vya kule ambavyo wenyewe waanaita Chane kiroho saafi yani
Naimani ndoto yangu ya kupata jini itatimia .
Umewaona wapi.... Hebu nionyeshe mimi pia nataka mmoja.... Tena nataka chotara mama mpare baba mwarabu.majini wote hao jamani umekosa hadi leo
Mbona umemdharau hivyo mwenzio? Stress tu hizo.Ungekuwa mtoto wangu ningekubadilisha na gunia la mkaa
me pia jinni ni pmUmewaona wapi.... Hebu nionyeshe mimi pia nataka mmoja.... Tena nataka chotara mama mpare baba mwarabu.
Hizo sifa za huyo jini unazo japo nusu yakeme pia jinni ni pm
JE LIKIWA NA JICHO MOJA KATIKAI YA KICHWA NA MGUU MMOJA UTALIKUBALI? MAANA NASIKIA WENGINECWAPO HIVYOWakuu nina hamu sana ya kuoa jini
Sababu kuu zilizopelekea kufikia uamuzi huu ni hizi
1)Majini hayachepuki
2)Majini hayaombi hela
3)Majini hayana magonjwa ya zinaa kama vile ukimwi
4)Majini yanajua kuhonga sana pesa So nitakuwa milionea kama Bakhresa
5)Nitakuwa nafanikiwa sana katika mishe zangu kama vile mitihani nitakuwa napasua saana kwa kuwa swali likinishinda mke wangu anakuja kunijazia
6)Nitakuwa na ulinzi popote pale niendapo kuanzia ulinzi wa ulimwengu wa giza mpaka ulimwengu wa nuru
Ulimwengu wa giza hapa namaanisha wachawi hawataweza kunifata hata kidogo na wakithubutu tu mke wangu atawamaliza
Ulimwengu wa nuru hapa namaanisha wezi ,majambazi nk hawataweza kunifanya chochote hivyo basi sitakuwa na haja ya kuajili watu wa ulinzi wala bodyguard wa aina yoyote ile
Pia kingine uzuri wa majini ni kuwa nikitaka kitendo cha unyumba nitakipata muda wowote ule ninao hitaji ,majini hayasumbui hovyo kugawa unyumba So ntaachoma zangu tu udi then naamuita mke wangu ananipa unyumba au lah ananibeba mpaka ujinini naenda kula vyakula vya kule ambavyo wenyewe waanaita Chane kiroho saafi yani
Naimani ndoto yangu ya kupata jini itatimia .
hahahahahhahahahaKwny ule uzi mwingine watu wamesema ww ni mwanamke mfupi mnene uliyejazia
Be careful with what your wishing for. Usiandike kitu kutufurahisha sisi Badae ukapata madhara ukiwa peke yako, sio kila member humu jf ni binadamu. NOTE THAT.