Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Nataka kuoa Mwalimu, mnanishaurije?

Hawajui kukata viuno wanaogopa kuitwa au kuonekana malaya.Style ni moja ya gwji boy!
 
Mkuu, ebu kuwa serious basiii, nilikua na route hiyo kweliii. Umenigunduaje??
Ulikuwa umevaa shati ya kijani sketi ya nyeusi na umebeba pochi nyeusi mtu akiwa anakupenda sana atajitahidi kujua vitu vingi kutoka kwako kiukwel ulipendeza ile mbaya Kama kawaida yako.
 
Back
Top Bottom