Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke na Helaa ni maji na samaki mkuu...!! Ukitaka mwanamke umkose mnyimee helaaaa.... Yani akuombe hela unamnyima kisa unampima uvumilivu oohoo
Sio labda ndio sababu hio ndio SABABU...!!Ni kweli maana kuna siku nilisikia anamwambia moja ya reporter wake kuwa yaani fulani ni mugumu.
Labda ndo sababu.
Amen.Asante mkuu kwa ushauri wako mrua,, ubarikiwe na Mungu akupe maisha mema.
Wewe ni Me au Ke?Njoo DM Kuna bint anAjielewa sana mtaan nazn utawezan nae ila uwe mkristo.
mlokole mpumbavu wewe....so unaamini kutangaza we mlokole ni umaarufu......tafuta pesa wewe....wacha ujuha....ndoa sio kimbilia la kurahisha hisia na tamaa zako.....NDOA ni Taasisi iliyojitosheleza........kusali TAG ndio ulokole??? msogele Mungu, mwambie hitaji lako kwa kutoa sadaka, na hayo mengine UTAONGEZEWE....wacha kupayuka payuka......hujui hata unaetaka kumuoa.....kuna vipengele unalazimisha kuviruka.....no skipping dogo....vitachipua huko mbeleni ushangae.....
dogo nina miaka lukuki ya ndoa,,,nimebobea.....nawaona vijana kama wewe mnaodhani ndoa ni umiliki wa dyudu......mnakurupuka....umri wako bado dogo....sitafute pesa kwanza.....Changamoto za ndoa hazina budi kutokea, usiogope ndoa kisa changamoto mkuu hiyo ni hali ya kawaida.
[emoji3516]Hizi ndoa huwa mnazichukuliaje kwani? Mbona limefanywa kuwa jambo rahisi rahisi hivi?
Let's meet at the top, cheers [emoji482]
[emoji3516]
SASA WEWE UNATAKA TULIFANYE KUWA JAMBO GUMU ILI IWEJE?
MLETA MADA,
ASIKUTISHIE HUYU.
WATU TUMEOA HADI WAKE WATATU NA HATUNA WASIWASI KABISA HAPA!!!
[emoji3516]
SASA WEWE UNATAKA TULIFANYE KUWA JAMBO GUMU ILI IWEJE?
MLETA MADA,
ASIKUTISHIE HUYU.
WATU TUMEOA HADI WAKE WATATU NA HATUNA WASIWASI KABISA HAPA!!!
sogea mpaka 30+Nifikishe miaka mingapi ndo nioe?