Nataka kuolewa, ila nataka nieendelee na uhuru wangu

Nimekomea pale ulipo Sema "daresa laam una marafiki zako" kwahiyo huwezi kuwa acha marafiki zako kisa mme aah Sawa mama Kila la kheri
H
Huyu malaya tunso asiwasumbuwe eti rack zangu rafiki zqngu bora hata wateja wangu haya kila la heri ni michepuko yako dar
 
Hizi mada zingine naona nizakutafuta tu engagement kwamba unathamini marafiki zako sana kuliko ndoa yako
 
Uhuru na ndoa haviendi pamoja.
 
Achana na mshikaji mapema sana atafute mwanamke mwingine,wewe endelea kula raha mijini utakuja kustuka baadaye..toka lini mahusiano na ndoa yatamuacha mtu na uhuru wake? Yeye mwenyewe akisha kuowa hatakua huru kwa kila kitu,ila wewe unataka kuwa free...wewe ni binti wa mwaka 2000 nini?
 
Kama ni huyu dokta tunayecheza naye mpira hapa kijijini utakuwa umepoteza dhahabu kubwa sana yaani jaama ni man of people kweli kweli, nimejua maana story zimefanana 98%
Hafu kigine sema ulikaa siku chache hivi ni moja ya vijiji vilivyochagamuka kwa walioko dar unaweza ukasema mwogozo kigamboni kule njia ya kupitia mjimwema.
Pili kitu kigne ambacho hukijui ukilipwa 1m huku kutoboa ni haraka na rahisi kuliko ukilipwa 1.8m dar.

njoo pm tafadhali
 
Kadada kapumbaf aka ukute ana miaka 25_30
 
Tuliendelea kugombana. Nilimwambia kuwa siwezi kuondoka mbali na Dar kwa sababu nina marafiki zangu, maisha yangu, na mipango yangu. Yeye akasema, "Siwezi kuoa mke ambaye anaishi mbali nami. Kama ni biashara, unaweza kuhamishia shinyanga."
Hivi hii ndoa ilifungwa? No man in his right senses atakubali kujipiga pingu la maisha na mwanamke anayefikiria zaidi “marafiki zake, maisha yake na mipango yake”
 
Huwezi kutaka A na B kwa pamoja. Kama unataka uhuru USIOLEWE.
 
Hiyo ndoa ilishakufa kabla hata haijafungwa.
Mwana atonywe mapema akimbia hapo kama ukoma, huyo sio mwanamke wa kuoa, huyo anatakiwa kuwa single mother tu.
 
Kwenye ndoa hakuna Uhuru uliopiliza sasa amua.moja uolewe au uachane na ndoa. Ndoa no gereza la kujitakia
 
Dr akioa hapa atakakufa kwa pressure!
Siyo wife material kabisa kabisa kabisa 🤬 🤬 🤬 🤬 🤬
 
Rafiki atakusaidiaatakusaidia nini kwenye maisha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…