narudi kesho
Senior Member
- Jul 5, 2024
- 177
- 270
Hadi kufikia maamuzi haya ya kutaka kuondoka nchi yangu kuna mambo mbalimbali ambayo kila siku yananipa mawazo.
Mambo yanayonikosea furaha
1. Ugumu wa kupatata ajira yenye mshahara mkubwa.
2. Wazazi wangu wote wamefariki ndugu nao kwangu hawana msaada kwangu.
3. Hata kwenye mapenzi napo bado naumizwa tu yaani mtu hanisikilizi wala hanijali
5. Naona akili yangu inadumaa tu kila siku elimu yangu niliyo nayo nimeshindwa kujiendeleza kwa sababu ya umaskini
Kwa hiyo nilikuwa napenda kupata abc za namna ya kufika huko nje ya nchi, namna ya kupata resident permit, jimbo gani au mkoa gani kwa huko nikifika nitapata kazi kwa urahisi, kodi za nyumba zipoje, gharama ya chakula na mengine nisiyoyajua
Elimu yangu Ni form four passport, ninayo na akiba yangu ni 3M.
Binafsi nchi nazozipenda ni USA, CANADA, GERMANY,JAPAN, SWITZERLAND,AUSTRALIA na kwa Afrika ni MAURITUS
Wakuu karibuni mnipe muongozo wa kufika huko.