Nataka kuongea na nyinyi jobless /Ma'jobless Pro

Nataka kuongea na nyinyi jobless /Ma'jobless Pro

Acha upumbafu 😅basi mimi kama makamu wa majobless natamani kuwa na watoto wengi Ila picha linakuja ndala zangu tu zimetoboka Zinaomba wali

Sina Ata begi natumia sulphates as my main bags

Sina godoro wala kitanda jobless mimi

Ila namshukuru Mungu
Nafuata hii msingi mitano ya upambanaji ya udereva ninaitumia kwenye maisha yangu ya Kila siku:
👉Umakini
👉Uwajibikaji
👉Uvumilivu
👉Utambuzi
👉Kujiamini

✏️Pole ndio mwendo ata walionazo nao walizisaka
makutupora Intelligent businessman
 
IMG-20250213-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom