#Asubuhi piga supu ya nyama ya ng'ombe na chapati tatu,shushia na kinywaji barid chochote.
#unaweza kaa masaa mawili tu ukaagiza hata mayai na mishikaki saba na kaglass ka maziwa sio mbaya[emoji12]
#Mchana sasa hapa hakikisha unaagiza kitimoto kilo moja na chips kula taratibu shushia na soda bariidi
# usiku sasa ndo mda wa kula sana kwako, maana chakula cha usiku ndo kitakufanya unenepe maana huwa hakifanyi kazi. maana wengi wanakula na kulala mda huo huo hvyo mmeng'enyo kuwa slow na chakula kugeuzwa mafuta kuwa chakula cha ziada hapo baadae.hapa hakikisha unakula chakula cha mafuta mengi mf.nyama ya nundu/mishkaki ya nundu,ukipata na chips yai la mayai manne sio mbaya[emoji39] weka na ile mayonaizi kwa wingi..huku kinywaji baridi kikifatia.
N.B USIKU UNATAKIWA KULA KUPITA KIASI,MAANA MLO WA USIKU NDO HUNENEPESHA