Nataka kuongezaka/kunenepa fasta, nipate diet gani?

Nataka kuongezaka/kunenepa fasta, nipate diet gani?

Kichwa cha habari hapo juu chahusika

Baada ya kupata kazi na kuwa na uhakika wa kipato sasa nataka nishughulike na kutafuta mwili maana sifurahii huu wembamba japo sina maradhi yoyote yanayoweza sababisha hivi.

Mimi ni kijana wa miaka 27 sijaoa naishi mwenyewe.
Sasa nataka kuongeza mwili fasta ni njia ipi niitumie au diety gani niitumie ili niongoze mwili angalau maana nmeamua kuongezeka mwili kiwe kipaumbele changu cha kwanza baada ya kupata kazi na sio kuvuta jiko.

Naomba mwenye ushauri anipe ntafuata ilivilivyo.

N. B.
Gharama kwangu sio issue
Njia ziwe za fasta.
Dawa nzuri ya kunenepa haraka tafuta mwanamke mzuri mpendane tu na msiwe na mridhike na mlichonacho ukimaliza mwaka hujaota kitambi basi wewe utakuwa siyo mtu wa kunenepa?
 
Protein supplements zinapatikana wapi nataka kunenepa aisee
tafuta kitu kaa hii ww
Screenshot_20210409-194545_AliExpress.jpg
 
#Asubuhi piga supu ya nyama ya ng'ombe na chapati tatu,shushia na kinywaji barid chochote
#unaweza kaa masaa mawili tu ukaagiza hata mayai na mishikaki saba na kaglass ka maziwa sio mbaya[emoji12]
#Mchana sasa hapa hakikisha unaagiza kitimoto kilo moja na chips kula taratibu shushia na soda bariidi
# usiku sasa ndo mda wa kula sana kwako, maana chakula cha usiku ndo kitakufanya unenepe maana huwa hakifanyi kazi. maana wengi wanakula na kulala mda huo huo hvyo mmeng'enyo kuwa slow na chakula kugeuzwa mafuta kuwa chakula cha ziada hapo baadae.hapa hakikisha unakula chakula cha mafuta mengi mf.nyama ya nundu/mishkaki ya nundu,ukipata na chips yai la mayai manne sio mbaya[emoji39] weka na ile mayonaizi kwa wingi..huku kinywaji baridi kikifatia.

N.B USIKU UNATAKIWA KULA KUPITA KIASI,MAANA MLO WA USIKU NDO HUNENEPESHA
Umemaliza kila kitu, nakazia tu apate muda wa kutosha kulala
 
Kichwa cha habari hapo juu chahusika

Baada ya kupata kazi na kuwa na uhakika wa kipato sasa nataka nishughulike na kutafuta mwili maana sifurahii huu wembamba japo sina maradhi yoyote yanayoweza sababisha hivi.

Mimi ni kijana wa miaka 27 sijaoa naishi mwenyewe.
Sasa nataka kuongeza mwili fasta ni njia ipi niitumie au diety gani niitumie ili niongoze mwili angalau maana nmeamua kuongezeka mwili kiwe kipaumbele changu cha kwanza baada ya kupata kazi na sio kuvuta jiko.

Naomba mwenye ushauri anipe ntafuata ilivilivyo.

N. B.
Gharama kwangu sio issue
Njia ziwe za fasta.
Ukisha nenepa siku ukitaka kupunguza unene ndio utajua kwann CAG anapingwa.
 
Anza kuvuta bangi..inaleta appetite kinoma, utakuwa unakula kama mchwa.
Hahahaha kwa namana yoyote ile unakulaga dawa ndio maana unaijua kama ninavyoijua
 
IMG_1601.JPG

Huu mzigo Mkuu nakuhakikishia hata robo haufiki utakuwa na body tayari.
Sana sana nakupa wiki mbili tu matokeo utayaona fasta tu.

Muhimu usiache kufanya mazoezi ili ujenge body nzuri usije kuwa manyama uzembe. Weww ni asubuhi unapiga glass moja, jioni napo tena glasi moja

Mazoezi piga push Ups, ruka kamba, kimbia. Na kama ukiweza nunua na rola ya kukata tumbo na spring za kuvuta. Mbona fasta tu watakuita hendsamu boi hapo job [emoji23]

Muhimu muhimu muhimu usiache kufanya mazoezi maana utajutaa huo unene wa nyama uzembe
 
unataka unenepe haraka haraka kwan unaenda kujionesha wap?
 
Unataka kuchinjwa huko mbeleni..SI bure uende gym ujenge muscles at least
 
Back
Top Bottom