Usipanic buana nakutania
Member
- Mar 12, 2021
- 95
- 109
Staki kuamini kama miili ninayoichukia kuliko kitu chochote kuna watu wanaitamani kiasi hiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BarikiwaNimeshapatwa mkuu.
Amen!Barikiwa
Yanaweza kuwepo.ila sijui yako wapiHakuna maduka rasmi?
Bei yake na upatikanaji wake unaweza ukawaje mkuu
Page inaitwaje?Mimi nauza virutubisho vya kuongeza mwili na nna page insta...njoo Pm
Na demu wako anaipiga na balimi na unamkiss [emoji16][emoji16]Situmii kitimoto
Tumia maziwa ya kopo kwenye chai, three times kwa sikuKichwa cha habari hapo juu chahusika
Baada ya kupata kazi na kuwa na uhakika wa kipato sasa nataka nishughulike na kutafuta mwili maana sifurahii huu wembamba japo sina maradhi yoyote yanayoweza sababisha hivi.
Mimi ni kijana wa miaka 27 sijaoa naishi mwenyewe.
Sasa nataka kuongeza mwili fasta ni njia ipi niitumie au diety gani niitumie ili niongoze mwili angalau maana nmeamua kuongezeka mwili kiwe kipaumbele changu cha kwanza baada ya kupata kazi na sio kuvuta jiko.
Naomba mwenye ushauri anipe ntafuata ilivilivyo.
N. B.
Gharama kwangu sio issue
Njia ziwe za fasta.
Chukua ufuta,karanga,mahindi,mtama,soya mix afu saga upate unga wake pika uji unywe asbuh na jion utakua bonge af mwenye nguvu,Kichwa cha habari hapo juu chahusika
Baada ya kupata kazi na kuwa na uhakika wa kipato sasa nataka nishughulike na kutafuta mwili maana sifurahii huu wembamba japo sina maradhi yoyote yanayoweza sababisha hivi.
Mimi ni kijana wa miaka 27 sijaoa naishi mwenyewe.
Sasa nataka kuongeza mwili fasta ni njia ipi niitumie au diety gani niitumie ili niongoze mwili angalau maana nmeamua kuongezeka mwili kiwe kipaumbele changu cha kwanza baada ya kupata kazi na sio kuvuta jiko.
Naomba mwenye ushauri anipe ntafuata ilivilivyo.
N. B.
Gharama kwangu sio issue
Njia ziwe za fasta.
Maziwa gani NIDO au?Tumia maziwa ya kopo kwenye chai, three times kwa siku
Utafumuka mbaya just miezi mitatu utajikataa
Hii siungi mkono...azipate tu hizo Protein naturally.Mkuu achana na kula ovyo.utajipa maradhi bure..tafuta protein supplements wapo watu wanauza.nyingine iko kama ungaunga hivi wanaita protein powder hii unatengeneza shake kisha unakinywa huku unafanya mazoezi.
Utapata mwili mkubwa uliojengeka..
instra unatumia jina ganiMimi nauza virutubisho vya kuongeza mwili na nna page insta...njoo Pm