visagold
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 327
- 177
Kuna mahala nimepata pakuweka daycare centre na watoto ni wengi kiukwel sasa wasiwasi wangu ni kugombana na serikal. Naomben msaada procedure za kufata nisajili daycare. Niende wap? Nahitaji document gan? Gharama zake je?
Kingine ni je unaweza mweka mwalimu wa nchi jiran kama Uganda na kenya? Wanahitaji kuwa na nn haswa.
Kingine ni je unaweza mweka mwalimu wa nchi jiran kama Uganda na kenya? Wanahitaji kuwa na nn haswa.