Nataka kupata procedure za kufungua Daycare

Nataka kupata procedure za kufungua Daycare

visagold

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
327
Reaction score
177
Kuna mahala nimepata pakuweka daycare centre na watoto ni wengi kiukwel sasa wasiwasi wangu ni kugombana na serikal. Naomben msaada procedure za kufata nisajili daycare. Niende wap? Nahitaji document gan? Gharama zake je?

Kingine ni je unaweza mweka mwalimu wa nchi jiran kama Uganda na kenya? Wanahitaji kuwa na nn haswa.
 
JE,? WAHITAJI...
* Kusajili kampuni
* Hesabu za Kodi, Hesabu za Kampuni,
*Kuandaa Memorandum....
* Kuandika Business Plan, Business Profile,
* Kuandaa Tender documents, CRB
*Kutengeneza LOGO, Business Cards, Brochures, Banners
* Printing - All types of Books
*Digital Printing: T-SHIRTS, CAPS, BAGS, PLATES, CUPS, etc.
TUPIGIE/ MESEJI - 0684 205039: WATSUP TU 0652 411402
BEI ZETU HAZINA USHINDANI, MIKOANI PIA TUNAHUDUMIA
Duh! sasa umemsaidiaje mleta mada!
 
Mkuu nenda ofisi ya ustawi wa Jamii ya Halmashauri ulipo! Watakuelekeza ili maombi yako yapelekwe kwa msajili Wizara ya Afya.....,lakini unatakiwa uwe na walezi...sio walimu wanaotambulika Kisheria ...! na mengine mengi!
 
we anza tu biashara, mambo mengine utajua mbele kwa mbele, nchi hiii ukifuata utaratibu utoweza kufanikiwa, maana utapewa vigezo, mpaka utashangaa, utaambiwa upogi picha passport size na mzee kingunge utaweza, so we anza tu mbele kwa mbele kitaeleweka
 
Kuna mahala nimepata pakuweka daycare centre na watoto ni wengi kiukwel sasa wasiwasi wangu ni kugombana na serikal. Naomben msaada procedure za kufata nisajili daycare. Niende wap? Nahitaji document gan? Gharama zake je?

Kingine ni je unaweza mweka mwalimu wa nchi jiran kama Uganda na kenya? Wanahitaji kuwa na nn haswa.
Mkuu wewe nunua vile viti vidogo na vimeza vidogo tafuta mwalimu mmoja wa montesori kisha weka matangazo elfu 10 kumi unaanza mdogo mdogo watakuletea utaratibu wenyewe.Ila unaweza kwenda ustawi wa jamii nafikiri watakuwa wanelewa
 
Back
Top Bottom