Hivi kwanini wa jf mmekuwa watu wa mizaa sana mtu anaomba msaada, kama hujui si bira ukae Kimya tu mbona mnataka kushusha hadhi ya jf, wakati huku mtaani tunainadi kuwa mtu ukiwa na shida ingia jf utatatuliwa tatizo lako, nazani mods inabidi waanze kuangalia hawa watoto wa primary wanao tuharibia sifa za jf, hivi kweli unamwambia mtu atumie upupu kweli, kwani ungepita kimya ungepungukiwa nini.