Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....daaa miaka 8...umekumbuka nini yeye amekumbuka nini ? Nyote mna sumu sanaa.....mmoja awe mjinga la sivyo hakuna kituuHabari za wakati huu wadau?
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza,Ninataka kurudiana na mwenzangu ambae tulitengana miaka minane iliyopita,naombeni maoni ushauri namna ya kuishi nae maana huko alikokuwa atakuwa kajazwa sumu nyingi sana.
Karibuni.
Mwanzoni tulitengana kwa sababu niliachishwa kazi,nikakaa home kama mwezi,mambo yalivyokuwa magumu zaidi nikatafuta hela nikamwambia arudi nyumbani kwanza niendelee kupambana,mambo yakishakuwa sawa atarudi tena town,nikamwachia nauli ya kumfikisha nyumbani kwa wazazi wangu,baadae jioni nampigia simu nijuwe amefika wapi,hakuwa anapatikana,nikawapigia simu nyumbani kama amefika huko,wakasema hajafika,basi kesho yake ndiyo akaniandikia sms kwamba asingeweza kwenda nyumbani kumbe ile hela niliyompa alienda kupanga chumba mahali akakaa hapo.Kwani mwanzoni mlitengana kisa nini.
Kama ni usaliti , hapo mtakuwa mnazingua.