Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe bado ni mdogo kwa mwanamke wako kifikra ndio maana anakuburuza atakavyo.Wote tumezaliwa 1997
Yaani ile nauli akakaa tu,si ana bwana japo wewe labda humjui?Mwanzoni tulitengana kwa sababu niliachishwa kazi,nikakaa home kama mwezi,mambo yalivyokuwa magumu zaidi nikatafuta hela nikamwambia arudi nyumbani kwanza niendelee kupambana,mambo yakishakuwa sawa atarudi tena town,nikamwachia nauli ya kumfikisha nyumbani kwa wazazi wangu,baadae jioni nampigia simu nijuwe amefika wapi,hakuwa anapatikana,nikawapigia simu nyumbani kama amefika huko,wakasema hajafika,basi kesho yake ndiyo akaniandikia sms kwamba asingeweza kwenda nyumbani kumbe ile hela niliyompa alienda kupanga chumba mahali akakaa hapo.
Why would you do that? 8 years is too far. Probably ana maisha mengine.Habari za wakati huu wadau?
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Ninataka kurudiana na mwenzangu ambae tulitengana miaka minane iliyopita, naombeni maoni ushauri namna ya kuishi nae maana huko alikokuwa atakuwa kajazwa sumu nyingi sana.
Karibuni.
Habari za wakati huu wadau?

Angekua anakupenda mngeachana?NAmuonea huruma maana yeye ananipenda kuliko mimi navyompenda.
Kama huyo X ni mwanamke kaa mbali naye..........hamna bahati mbaya linapokuja suala la mwanamke kukaa miaka yote hio bila wanaume wema kumuoa.......------Yes wapo masimp,kama wewe ambao hula matapishi yao,na makombo yaliochwa na alpha maleHabari za wakati huu wadau?
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Ninataka kurudiana na mwenzangu ambae tulitengana miaka minane iliyopita, naombeni maoni ushauri namna ya kuishi nae maana huko alikokuwa atakuwa kajazwa sumu nyingi sana.
Karibuni.
Nashauri umtongoze upya ufanye umepata demu mchumbiane, ulipe mahari na usahau kama ni X. Then muoane ikiwezekana.Mwanzoni tulitengana kwa sababu niliachishwa kazi,nikakaa home kama mwezi,mambo yalivyokuwa magumu zaidi nikatafuta hela nikamwambia arudi nyumbani kwanza niendelee kupambana,mambo yakishakuwa sawa atarudi tena town,nikamwachia nauli ya kumfikisha nyumbani kwa wazazi wangu,baadae jioni nampigia simu nijuwe amefika wapi,hakuwa anapatikana,nikawapigia simu nyumbani kama amefika huko,wakasema hajafika,basi kesho yake ndiyo akaniandikia sms kwamba asingeweza kwenda nyumbani kumbe ile hela niliyompa alienda kupanga chumba mahali akakaa hapo.
Wanawake wapo sana,Umekosa kabisa wanawake huko uliko?
Nilitowa mahari wakati huwo ila sikumaliza baadhi ya vitu,upande wao wana hasira na mimi,wananiona kama tapeli wakati mtoto wao ndiyo hakuwa mvumilivu.Nashauri umtongoze upya ufanye umepata demu mchumbiane, ulipe mahari na usahau kama ni X. Then muoane ikiwezekana.