Aunty kemmy
Member
- Dec 13, 2013
- 46
- 23
Kushika mimba?!
Jaribu na mimi uone.
Haupo serious Ngabu...we ni FM?
Nataka kushika mimba nimejaribu sana lakin cjapata. Mzunguko wa cku zangu ni cku 33 hadi 34..je hapo cku zangu za hatar kushika mimba ni zipi?