Nataka Kushika Mimba...msaada

Nataka Kushika Mimba...msaada

Tumeshatoa sana hili somo hapa...

Jaribu kutafuta threads kama hii zipo nyingi hapa na watu wamesharudi kushukuru...
 
Mushobozi:

I think Tanzanian students should pay 100% of their education cost through loans or non-government related schoolarships. It is time to rethink the way we fund education and other social services in this country where the percentage of people under abject povert is higher than 95 percent and the dependences of foreign aids is closer to 50%. I believe it is also nonsense to stick with the ideas that our social predicaments could be eradicated through the implementation of welfare programs.

You give the example of Botswana. Per capital income of Botswana is 10 times of ours and in Africa is second to that of South Africa. The only way we could follow the government of Botswana is to be productive and creative in terms of ecomonic actvities. For examples we should pay our external debts, stop begging, stop corruption and learn how to take our responsibilities

Economic data shows welfare programs truely reduce productivities through massive taxation. Besides, on individual level, poverty is measured within peers. Within themselves, Tanzanians dont think that they are poor and their spirit is so high. The only time we think that we are poor is when you compare Tanzanians with individuals from other countries however this comparison doesnt make us sorry.
.......
 
hapo inabidi urekebibishe mzunguko wa siku kuwa 25-30 lasivyo utakesha.Na mimba inashika katika siku ya 12-13 na 14.ya mzunguko wa siku za mwanamke.
 
Katika mambo haya hatufanyi assumption ila ufanye inavyostahili.
Chukua mzunguko wako yaani 35/2= 17.5, chukua 18+3 = 21, afu 18-5= 13. Siku zako za hatari zinaanza siku ya 13 hadi siku ya 21 lakini siku ya katikakati kabisa ni siku ya 17. Kwa hiyo ili upate mimba anza kufanya siku ya 16, 17 na18 hizi ndo siku za hatari sana. Kwa yule ambayo hahitaji kupata mimba tunamwambia aache kuanzia siku 13 hadi 21: lakini kwako wewe siku za hatari zaidi ni hizo hapo juu. Nakutakia mafanikio mema

kaka nimependa ulivomjibu mdau.. sorry kwa kuinglia mda but mm mzunguko wangu ni siku 21-23, je n siku zipi za kushika na kutokushika mimba?? msaada plz maana huwa sijielewagi na most of time natumiaga kinga
 
unataka kushika mimba, hakikisha unashirikiana na mweza wako pia.....
 
hapo inabidi urekebibishe mzunguko wa siku kuwa 25-30 lasivyo utakesha.Na mimba inashika katika siku ya 12-13 na 14.ya mzunguko wa siku za mwanamke.

hebu acha kutoa ushauri ktk mambo ambayo huyafahamu, nani kakwambia binadamu tunafanana? unaelewa hata maana na tofauti ya mizunguko? dickhead
 
Siyo lazima asubirie ute Mimba kawaida inatungwa kuanzia siku ya 14-16 katika mzunguko wa mwanamke hivyo hata akigegedwa siku ya 12 kama jamaa anazo shahawa za kutosha zitafika tu hadi siku ya 14.
Hafu inaonekana huyu dada age yake ni kubwa kwani kama mzunguko ni 33 days basi aangalie kama huko zamani alikuwa anatumia madawa ya kujikinga na mimba inaweza ikaleta tatizo.

Kwanza uwe umeolewa ndio fuata ushauri huu, baada ya damu kuisha subili kwa siku chache utaona ute (mucus) hapo sasa ndio wakati wa kufanya tendo la ndoa na mumeo, mimba hushika kipindi hicho tu kwani hiyo mucus ndio inasafirisha mbegu kwenda kwenye yai.
 
kaka nimependa ulivomjibu mdau.. sorry kwa kuinglia mda but mm mzunguko wangu ni siku 21-23, je n siku zipi za kushika na kutokushika mimba?? msaada plz maana huwa sijielewagi na most of time natumiaga kinga

UNAFANYA THE same, wewe mzunguko wako ni siku 21. huwa tunamizunguko ya aina tatu, 21, 28, na 35. wew wa kwako ni 21. chukua 21/2= 11. chukua 11+3=14, 11-5=6. sasa siku zako za hatari zinaaza siku ya sita hadi siku ya 14 tangu uanze hedhi. sasa inamaana kwamba wewe kama unableed siku saba utakuwa unableed huku uko kwenye siku za hatari. inamaana ukifanya mapenzi tu baada ya kumaliza hedhi uwezekano wa kupata mimba ni mkubwa. nafikiri maelezo yamejitosheleza. kama unaswali usisite kuniandikia kama utauliza hapa kumbuka kuniquote ndo nitaona. other wise good day
 
Nataka kushika mimba nimejaribu sana lakin cjapata. Mzunguko wa cku zangu ni cku 33 hadi 34..je hapo cku zangu za hatar kushika mimba ni zipi?

kwa kawaida nusu ya pili ya mzunguko wa mwanamke huwa fixed kwa wanawake wengi, ambapo huchukua siku 14 toka yai kupevuka mpaka utapopata damu ya hedhi yena (day1 ya mzunguko). kwa mantiki hyo basi, kama una haki kwamba mzunguko wako ni wa siko 33-34, na kwamba uko regular na haubadiliki (ukiacha mabadiliko madogo ya kawaida), basi siku yako ya kutoa yai ni 19-20 ya mzunguko. kwa hyo, siku zako za hatari ni kuanzia 17,18,19,20(kwa mzunguko wa siku 33), na 18,19,20,21,22(kwa mzunguko wa siku 34). siku nzuri zaidi ni hzo tatu za kati ktkt hayo makundi mawili. kwa maelezo zaidi ni pm. alamsiki, mkuyati og
 
UNAFANYA THE same, wewe mzunguko wako ni siku 21. huwa tunamizunguko ya aina tatu, 21, 28, na 35. wew wa kwako ni 21. chukua 21/2= 11. chukua 11+3=14, 11-5=6. sasa siku zako za hatari zinaaza siku ya sita hadi siku ya 14 tangu uanze hedhi. sasa inamaana kwamba wewe kama unableed siku saba utakuwa unableed huku uko kwenye siku za hatari. inamaana ukifanya mapenzi tu baada ya kumaliza hedhi uwezekano wa kupata mimba ni mkubwa. nafikiri maelezo yamejitosheleza. kama unaswali usisite kuniandikia kama utauliza hapa kumbuka kuniquote ndo nitaona. other wise good day

dah.. mbana nazidi kuchanganyikiwa.. kuna mtu kanielekeza ati nahesabu siku 10 toka ntakapoanza kubrid mpk ntakapomaliza na hizo ndo safe, so kama nko mp kuanzia trh 1-5, then from trh 6-10 ndo safe dayz, then 11-17 siyo safe, then kuendele mpk ntakapopata period n safe.. au nlielewa somo vby..
msaada plz
 
kwa kawaida nusu ya pili ya mzunguko wa mwanamke huwa fixed kwa wanawake wengi, ambapo huchukua siku 14 toka yai kupevuka mpaka utapopata damu ya hedhi yena (day1 ya mzunguko). kwa mantiki hyo basi, kama una haki kwamba mzunguko wako ni wa siko 33-34, na kwamba uko regular na haubadiliki (ukiacha mabadiliko madogo ya kawaida), basi siku yako ya kutoa yai ni 19-20 ya mzunguko. kwa hyo, siku zako za hatari ni kuanzia 17,18,19,20(kwa mzunguko wa siku 33), na 18,19,20,21,22(kwa mzunguko wa siku 34). siku nzuri zaidi ni hzo tatu za kati ktkt hayo makundi mawili. kwa maelezo zaidi ni pm. alamsiki, mkuyati og

naomba msaada hapa ktk hili wife anaingia bleed kila tar 23 hadi tar 25 au 26 akuwa tayar kamaliza
je! Huu ni mzunguko wa siku ngap na tarehe zipi ni za hatar!
 
kwa kawaida nusu ya pili ya mzunguko wa mwanamke huwa fixed kwa wanawake wengi, ambapo huchukua siku 14 toka yai kupevuka mpaka utapopata damu ya hedhi yena (day1 ya mzunguko). kwa mantiki hyo basi, kama una haki kwamba mzunguko wako ni wa siko 33-34, na kwamba uko regular na haubadiliki (ukiacha mabadiliko madogo ya kawaida), basi siku yako ya kutoa yai ni 19-20 ya mzunguko. kwa hyo, siku zako za hatari ni kuanzia 17,18,19,20(kwa mzunguko wa siku 33), na 18,19,20,21,22(kwa mzunguko wa siku 34). siku nzuri zaidi ni hzo tatu za kati ktkt hayo makundi mawili. kwa maelezo zaidi ni pm. alamsiki, mkuyati og
l

Na Mkifanya Ngono kila siku hawezi kupata Mimba?!
 
Naamini kwa ushauri huu mashaka yako yote kwisha na ukitoka hapa unajua nini cha kufanya
 
dah.. mbana nazidi kuchanganyikiwa.. kuna mtu kanielekeza ati nahesabu siku 10 toka ntakapoanza kubrid mpk ntakapomaliza na hizo ndo safe, so kama nko mp kuanzia trh 1-5, then from trh 6-10 ndo safe dayz, then 11-17 siyo safe, then kuendele mpk ntakapopata period n safe.. au nlielewa somo vby..
msaada plz
Aliyekueleza ni nani Je ni daktari, kama ni daktari mwambie akasome upya. kama ni Layman kama wewe basi mpotezee. fuata ushauri huu mimi ni daktari by professional. kama huamini nenda kajribu kama nilivyoelekeza hapo. utaona mambo. Good luck sisi ni washauri tu una haki ya kukubali ushauri au kukataa
 
Pole Dada. kama umejaribu njia zote imeshindikana nitafute nitakushauri utumie bidhaa gani ili zikusaidie. Mimi ni distributor wa foreverliving products tuna bidhaa zimewasiadia watu wengi waliopata matatizo kama yako. hizi ni organic products hazina madhara.
 
Aliyekueleza ni nani Je ni daktari, kama ni daktari mwambie akasome upya. kama ni Layman kama wewe basi mpotezee. fuata ushauri huu mimi ni daktari by professional. kama huamini nenda kajribu kama nilivyoelekeza hapo. utaona mambo. Good luck sisi ni washauri tu una haki ya kukubali ushauri au kukataa

sasa n hv dactari.. naomba unielekeze vzr, alinielekeza mm n rafiki tu, sio docta, mm huwa nakaa 21 days mpk ntakapokuja kuona mp nyingine na nnabreed for 5days , so 21+5 days ni 26, ts means niko na mzunguko wa siku hizo.. naomba unieleweshe kuanzia hapo.. samahani lkn mgonjwa mm nina kichwa kigumu hatari
 
Mzunguko wako ni 21 days, circle imegawanyika katika sehemu mbili na ya pili. Ndo fixed 14 days so yai huwa linatoka siku 14 kabla ya kuona bleeding. Siku yako ya ovulation ni siku ya saba toka siku ya kwanz ya breeding. Siku za hatari ni 5 -10.
 
Back
Top Bottom