Barca
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 1,448
- 1,624
nilisema hivi bibie chukua 21 gawa kwa mbili utapata 10.5 approx. 11. chukua 11+3=14, chukua 11-5=6. inamaana hivi siku zako za hatari zinaanza sikunya 6 tangu uanze bleeding na kumalizika siku ya 14 tangu uanze bleeding. sasa basi hii tunatumia kwa wale ambao wanatumia calendar method kuzuia mimba. which means kuanzia siku ya 6-14 unatakiwa kuabstain usifanye ngono. lakini kwa yule anayetaka kupata mimba siku nzuri kwa kupata mimba kuanzi a siku ya 8,9,10, 11 na 12.hizi ni siku nzuri sana kupata mimba kwa wewe mwenye mzunguko wa siku 21. ukitaka kupata wa kiume siku nzuri ni 11, 12 na hata 13. kupata wa kike siku nzuri ni 8, 9 na 10. all the best mamy. Kiss amd hugs and happy Valentine day.sasa n hv dactari.. naomba unielekeze vzr, alinielekeza mm n rafiki tu, sio docta, mm huwa nakaa 21 days mpk ntakapokuja kuona mp nyingine na nnabreed for 5days , so 21+5 days ni 26, ts means niko na mzunguko wa siku hizo.. naomba unieleweshe kuanzia hapo.. samahani lkn mgonjwa mm nina kichwa kigumu hatari