.......Mushobozi:
I think Tanzanian students should pay 100% of their education cost through loans or non-government related schoolarships. It is time to rethink the way we fund education and other social services in this country where the percentage of people under abject povert is higher than 95 percent and the dependences of foreign aids is closer to 50%. I believe it is also nonsense to stick with the ideas that our social predicaments could be eradicated through the implementation of welfare programs.
You give the example of Botswana. Per capital income of Botswana is 10 times of ours and in Africa is second to that of South Africa. The only way we could follow the government of Botswana is to be productive and creative in terms of ecomonic actvities. For examples we should pay our external debts, stop begging, stop corruption and learn how to take our responsibilities
Economic data shows welfare programs truely reduce productivities through massive taxation. Besides, on individual level, poverty is measured within peers. Within themselves, Tanzanians dont think that they are poor and their spirit is so high. The only time we think that we are poor is when you compare Tanzanians with individuals from other countries however this comparison doesnt make us sorry.
Mkuu hii equation ya siku 33 na 34 imenitoa out. Hahahahahaaa
Katika mambo haya hatufanyi assumption ila ufanye inavyostahili.
Chukua mzunguko wako yaani 35/2= 17.5, chukua 18+3 = 21, afu 18-5= 13. Siku zako za hatari zinaanza siku ya 13 hadi siku ya 21 lakini siku ya katikakati kabisa ni siku ya 17. Kwa hiyo ili upate mimba anza kufanya siku ya 16, 17 na18 hizi ndo siku za hatari sana. Kwa yule ambayo hahitaji kupata mimba tunamwambia aache kuanzia siku 13 hadi 21: lakini kwako wewe siku za hatari zaidi ni hizo hapo juu. Nakutakia mafanikio mema
hapo inabidi urekebibishe mzunguko wa siku kuwa 25-30 lasivyo utakesha.Na mimba inashika katika siku ya 12-13 na 14.ya mzunguko wa siku za mwanamke.
Kwanza uwe umeolewa ndio fuata ushauri huu, baada ya damu kuisha subili kwa siku chache utaona ute (mucus) hapo sasa ndio wakati wa kufanya tendo la ndoa na mumeo, mimba hushika kipindi hicho tu kwani hiyo mucus ndio inasafirisha mbegu kwenda kwenye yai.
kaka nimependa ulivomjibu mdau.. sorry kwa kuinglia mda but mm mzunguko wangu ni siku 21-23, je n siku zipi za kushika na kutokushika mimba?? msaada plz maana huwa sijielewagi na most of time natumiaga kinga
Nataka kushika mimba nimejaribu sana lakin cjapata. Mzunguko wa cku zangu ni cku 33 hadi 34..je hapo cku zangu za hatar kushika mimba ni zipi?
UNAFANYA THE same, wewe mzunguko wako ni siku 21. huwa tunamizunguko ya aina tatu, 21, 28, na 35. wew wa kwako ni 21. chukua 21/2= 11. chukua 11+3=14, 11-5=6. sasa siku zako za hatari zinaaza siku ya sita hadi siku ya 14 tangu uanze hedhi. sasa inamaana kwamba wewe kama unableed siku saba utakuwa unableed huku uko kwenye siku za hatari. inamaana ukifanya mapenzi tu baada ya kumaliza hedhi uwezekano wa kupata mimba ni mkubwa. nafikiri maelezo yamejitosheleza. kama unaswali usisite kuniandikia kama utauliza hapa kumbuka kuniquote ndo nitaona. other wise good day
kwa kawaida nusu ya pili ya mzunguko wa mwanamke huwa fixed kwa wanawake wengi, ambapo huchukua siku 14 toka yai kupevuka mpaka utapopata damu ya hedhi yena (day1 ya mzunguko). kwa mantiki hyo basi, kama una haki kwamba mzunguko wako ni wa siko 33-34, na kwamba uko regular na haubadiliki (ukiacha mabadiliko madogo ya kawaida), basi siku yako ya kutoa yai ni 19-20 ya mzunguko. kwa hyo, siku zako za hatari ni kuanzia 17,18,19,20(kwa mzunguko wa siku 33), na 18,19,20,21,22(kwa mzunguko wa siku 34). siku nzuri zaidi ni hzo tatu za kati ktkt hayo makundi mawili. kwa maelezo zaidi ni pm. alamsiki, mkuyati og
lkwa kawaida nusu ya pili ya mzunguko wa mwanamke huwa fixed kwa wanawake wengi, ambapo huchukua siku 14 toka yai kupevuka mpaka utapopata damu ya hedhi yena (day1 ya mzunguko). kwa mantiki hyo basi, kama una haki kwamba mzunguko wako ni wa siko 33-34, na kwamba uko regular na haubadiliki (ukiacha mabadiliko madogo ya kawaida), basi siku yako ya kutoa yai ni 19-20 ya mzunguko. kwa hyo, siku zako za hatari ni kuanzia 17,18,19,20(kwa mzunguko wa siku 33), na 18,19,20,21,22(kwa mzunguko wa siku 34). siku nzuri zaidi ni hzo tatu za kati ktkt hayo makundi mawili. kwa maelezo zaidi ni pm. alamsiki, mkuyati og
Nataka kushika mimba nimejaribu sana lakini sijapata. Mzunguko wa siku zangu ni siku 33 hadi 34.
Je hapo siku zangu za hatari kushika mimba ni zipi?
Aliyekueleza ni nani Je ni daktari, kama ni daktari mwambie akasome upya. kama ni Layman kama wewe basi mpotezee. fuata ushauri huu mimi ni daktari by professional. kama huamini nenda kajribu kama nilivyoelekeza hapo. utaona mambo. Good luck sisi ni washauri tu una haki ya kukubali ushauri au kukataadah.. mbana nazidi kuchanganyikiwa.. kuna mtu kanielekeza ati nahesabu siku 10 toka ntakapoanza kubrid mpk ntakapomaliza na hizo ndo safe, so kama nko mp kuanzia trh 1-5, then from trh 6-10 ndo safe dayz, then 11-17 siyo safe, then kuendele mpk ntakapopata period n safe.. au nlielewa somo vby..
msaada plz
Aliyekueleza ni nani Je ni daktari, kama ni daktari mwambie akasome upya. kama ni Layman kama wewe basi mpotezee. fuata ushauri huu mimi ni daktari by professional. kama huamini nenda kajribu kama nilivyoelekeza hapo. utaona mambo. Good luck sisi ni washauri tu una haki ya kukubali ushauri au kukataa
sasa n hv dactari.. naomba unielekeze vzr, alinielekeza mm n rafiki tu, sio docta, mm huwa nakaa 21 days mpk ntakapokuja kuona mp nyingine na nnabreed for 5days , so 21+5 days ni 26, ts means niko na mzunguko wa siku hizo.. naomba unieleweshe kuanzia hapo.. samahani lkn mgonjwa mm nina kichwa kigumu hatari