Nataka Kushika Mimba...msaada

nilisema hivi bibie chukua 21 gawa kwa mbili utapata 10.5 approx. 11. chukua 11+3=14, chukua 11-5=6. inamaana hivi siku zako za hatari zinaanza sikunya 6 tangu uanze bleeding na kumalizika siku ya 14 tangu uanze bleeding. sasa basi hii tunatumia kwa wale ambao wanatumia calendar method kuzuia mimba. which means kuanzia siku ya 6-14 unatakiwa kuabstain usifanye ngono. lakini kwa yule anayetaka kupata mimba siku nzuri kwa kupata mimba kuanzi a siku ya 8,9,10, 11 na 12.hizi ni siku nzuri sana kupata mimba kwa wewe mwenye mzunguko wa siku 21. ukitaka kupata wa kiume siku nzuri ni 11, 12 na hata 13. kupata wa kike siku nzuri ni 8, 9 na 10. all the best mamy. Kiss amd hugs and happy Valentine day.
 
Mzunguko wako ni 21 days, circle imegawanyika katika sehemu mbili na ya pili. Ndo fixed 14 days so yai huwa linatoka siku 14 kabla ya kuona bleeding. Siku yako ya ovulation ni siku ya saba toka siku ya kwanz ya breeding. Siku za hatari ni 5 -10.
'

hapa simkweli mkuu utawapoteza watu, akifanya siku ya 11,12,13,14 atapata mimba piga ua ambapo wewe formula yako inaonyesha ni safe days. Kama haya mambo huyajui hebu nenda kasome tena.
 
Tafta wanaume wenye uwezo wakuzalisha. Sio wote wanaovaa suruali wana uwezo. Hizo ni baraka kutoka Allah
 
tuekeweshane taratibu kwa mzunguko wa siku 21 ovulation ni siku ipi? Barca
 
Last edited by a moderator:
Very simple mathematics kama siku zako ni 21 chukua unarudi siku 15 nyuma yani 21-15 utajikuta unapata 7 so ni siku ya 7 kama ni 33-15 unapata 19 na kama ni 28 toa 15 utakuta ni 14 kama ni 30-15 utakuta ni 16 kwa kifupi unahesabu siku 15 nyuma na including ile siku ya kwanza yan kama 28 unahesabu 28 27 26 25 24 23 22 21 20 19 18 17 16 15 14...na kama ni 21 unahesabu 21 20 19 18 17 16 15 14 13 12 11 10 9 8 7 so siku za hatari ni 5 mpaka 10 na nyingine vivyo hvyo , then kwa kawaida yai la mwanamke laweza kUishi masaa 72 so unaongeza siku 3 mbele na yai la mwanaume masaa 48 so unasogeza siku mbili nyuma kwa hiyo kwa mtu ambaye siku yake ya mimba ni siku ya 14 ina maana siku zake za hatari ni 12 mpaka 17 ..kama ni siku .ukiduu hapo kwenye range utapata na kama ni siku 33 ina maana siku ya hatari ni siku ya 19 so range yako ni 17 mpaka 21 ukihangaika hapa na kama afya yako ipo vizuri inshallah utapata.....
Muhimu usiwe na papara na matamanio yaliyopitiliza maana hii huwa inasababisha stress na kufanya mwili kutokua katika hali yake nzuri hvyo siku zako kutoeleweka.....
 
Jaman namaanisha nataka niwe mjamzito maana naona wengne washaanza kutafsir tofaut..utan una mahala pake nenda jukwaa la vichekesho na utani
Dada yangu pole sana.
Unachotakiwa kufanya ni hiki, ki-biologia mwanamke anauwezo wa kushika mimba kipindi cha uvolation (Yai linapohama kuja sehemu ya uzazi). Siku hizi ambazo ni hatari ukifanya basi unauwezekano mkubwa tuu wa kushika mimba ila kama utakuwa na matatizo ya kufunga kwa mirija ya uzazi hutaweza kushika mimba. Kwa hiyo ni vyema kumuona dokta kuangalia kama mirija ya uzazi kama haijaziba.
 

Katika wootee walio comment, nilikuwa namtafuta mtu atakae kushauri namna hii. Mimi binafsi nakubaliana naye. Sababu ndivyo nilivyofundishwa na mitandao..!.
 
Unaowapatia fursa mbegu zao sio pevu kutunga mimba kwako. Nitafute, nina hakika nitakubebesha mimba lakini ukubali kumtunza mtoto peke yako. Ujira wangu tutaujadili kwenye preliminary discussion 07 7 32 11726
Nataka kushika mimba nimejaribu sana lakini sijapata. Mzunguko wa siku zangu ni siku 33 hadi 34.

Je hapo siku zangu za hatari kushika mimba ni zipi?
 
Katika wootee walio comment, nilikuwa namtafuta mtu atakae kushauri namna hii. Mimi binafsi nakubaliana naye. Sababu ndivyo nilivyofundishwa na mitandao..!.

TeEh usimnyime like asee

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
kaka nimependa ulivomjibu mdau.. sorry kwa kuinglia mda but mm mzunguko wangu ni siku 21-23, je n siku zipi za kushika na kutokushika mimba?? msaada plz maana huwa sijielewagi na most of time natumiaga kinga

Unatumia kinga na huku unataka kushika mimba?..unataka miujiza ww
 
Unaowapatia fursa mbegu zao sio pevu kutunga mimba kwako. Nitafute, nina hakika nitakubebesha mimba lakini ukubali kumtunza mtoto peke yako. Ujira wangu tutaujadili kwenye preliminary discussion 07 7 32 11726
eh! Mwenyezi mungu tusaidie siye waomba ushauri maana ushauri mwingine mtego Tu nani atanasa
 

kila siku dah huyo jamaa atafaidi kweli hadi naona wivu mmmmm...
 
Last edited by a moderator:
tuekeweshane taratibu kwa mzunguko wa siku 21 ovulation ni siku ipi? Barca

mzunguko wa siku 21 chukua 21/2=11.5, 11.5-5=6, 11.5+3=14.5. SASA SIKU ZAKO za hatari ni kati ya siku ya 6 hadi ya 15. most likely day of getting pregnancy is 11th day. ndo siku ya katikati. kwa hiyo huyu ana suku chache sana za uhuru. ukimaliza to mp unaweza pata mimba.
kama una swali please quote me ndo nitaona kirahisi. nakutakia mafanikio mema
 
Nenda clinic watakusaidia au njoo kwangu nikusaidie naweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…