Vigo Mnyama
Member
- Jun 7, 2021
- 27
- 23
Niko combination ya science nataka nikasomee Bachelor of fine art and design..
Ninakipaji cha kuchora.
Ninakipaji cha kuchora.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakufa masikini,hiyo kozi hailipi bongo labda ulayaMimi ni mwanafunzi niko kidato cha sita combination ya CBG ila nina kipaji na niko interested sana na kuchora.
Lakini kuna mda nafikiria nimesoma comb ya science na ninataka kusomea art naona kama sitakuwa sahihi na kama nikimaliza na hii comb je ntapata hiyo course ya Fine art and design?
NNaombeni ushauri wenu🙏
OkayUtakufa masikini,hiyo kozi hailipi bongo labda ulaya
Homeboy wako alisomaje sasa wakati hana kipaji??Hiyo course wanao isoma ni wale wenye malengo ya kuwa wasanii na vipaji wanavyo tofauti na hapo sikushauri , kuna jamaa ni home boy wangu tuliingia nae chuo mwaka mmoja pale udsm akapiga mpaka sasa anajuta tu anawaza kwenda veta apate ujuzi wa kumu weka mjini
Niko form 6 nataka nikachukie bachelor ya fine art in design sio diplomaKasome Butimba ttc,wana diploma maalumu za masomo ya fani ambapo unaweza kusoma Diploma ya elimu sekondari inayojumuisha masomo ya fani na somo moja la kufundishia.
Ila kama hauna upendeleo na ualimu endelea kusubiri waje....
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi Za Kuchora Zinahitaji Cheti..!Homeboy wako alisomaje sasa wakati hana kipaji??
Kipaji ninacho ndo nawaza nisomee angarau niwe na cheti hata nikijiajili itakuwa rahisi mtu kukubali kazi yangu ninachora.
NdioKazi Za Kuchora Zinahitaji Cheti..!
Bongo Nyoso[emoji28]
Kama una nia una unapenda sanaa nenda kasome. Hiyo kozi rahisi kujiajiri kama ukiwa smart na passion ya sanaa.Ndio
Kwakweli nimependa Msimamo wako Mkuu, Ila acha kutia hasara wazazi soma kwanza vitu vinavyoeleweka maliza Chuo course nzuri ksbisa kisha rudi ufanye sanaa yako tafuta kituo kizuri cha watu wanaofanya biashara ya Uchoraj fanya nao kazi watakufundisha kwa vitendo utaiva kuliko hata ukienda kuisotea chuo Na ukiwa na taaluma yako ya kueleweka hata sanaa yako itaonekana c ya njaa.Ndio
Hahaha wabongo bwana!!!Utakufa masikini,hiyo kozi hailipi bongo labda ulaya
Nashukuru Sana kwa Ushauri Mungu akubariki pia.Kwakweli nimependa Msimamo wako Mkuu, Ila acha kutia hasara wazazi soma kwanza vitu vinavyoeleweka maliza Chuo course nzuri ksbisa kisha rudi ufanye sanaa yako tafuta kituo kizuri cha watu wanaofanya biashara ya Uchoraj fanya nao kazi watakufundisha kwa vitendo utaiva kuliko hata ukienda kuisotea chuo Na ukiwa na taaluma yako ya kueleweka hata sanaa yako itaonekana c ya njaa.
Lakini wacha kujiplania Kupata chet cha sanaa toka chuo kikuu.
Faida, utakapomaliza kusoma kwanza utakua na hope ya kuajiliwa au kujiajili katika issue uliyosomea lakini muda utakaokua ukisubir mtaani utautumia kujifunza sanaa na kupata jina mtaani ukiwa tayar una taaluma ya kueleweka.
Hawa akina tesla wangekua matajiri bila elimu? Vipi akina dangote bila kuwa na elimu au watu wenye elimu wangekua matajiri?Hahaha wabongo bwana!!!
Lini elimu ikaleta utajiri?
Ukiwa na jibu niite
Matajiri wengi hawana Elimu kubwa.Hawa akina tesla wangekua matajiri bila elimu? Vipi akina dangote bila kuwa na elimu au watu wenye elimu wangekua matajiri?