Nataka kusoma course ya Fine Arts and Design naomba ushauri

Nataka kusoma course ya Fine Arts and Design naomba ushauri

Kwakua unajua kuchora kasome tu mambo ya graphics design uwe serious kweli kweli hutojuta
 
Matajiri wengi hawana Elimu kubwa.
Tesla ni mgunduzi elimu haijamfikisha hapo.
Huyu ni aina ya watu wenye vipawa vya kipekee.
Niambie ni chuo gani yanasomewa anayofanya Tesla?

Hata bongo wasio na elimu kubwa ndio wameajirivwasomi fikiri tena
Endelea kujidanganya billionaires wengi ni wasomi wa Chuo kikuu

Acha na matajiri wa mwandulami
 
Back
Top Bottom