King Evance programmer
Member
- Jul 5, 2024
- 20
- 58
Nimepata idea ya kutengeneza game la mpira ambalo litakuwa na leagues za tz tu na pia commentator atakuwa anaongea kiswahili na pia viwanja vitakuwa vya Tz.Je nauliza kama kuna sheria ambazo zitanibana kwa baadae maana ntatumia majina na sura za wachezaji halisi(original)