Nataka kutengeneza game la mpira like Dream league but litakuwa na wachezaji na commentary wa Tz

Hili wazo nikiwahi kuwa nalo kitambo sana. Ndiyo utahitaji idhini ya vilabu na wachezaji husika, hao wote inabidi wapate mgao wao labda kama waamue tu kukusapoti bila kukudai chochote. Ni wazo zuri ila lina mchakato mrefu kidogo ila kama una connection na/au uwezo wa kuwasilisha wazo lako kwa ufasaha, songa nalo mbele. Kila la kheri.
 
Zingatia hapa ndugu mwandishi.
 
Picha ni za kuchora jivo hazina sheria yyt majina ya wachezaji hskuna mwenye hatimiliki ya jina lake we tengeneza tu
 
Una maarifa yoyote ya kuanzia au ndio hata Computer uielewi
 
Aombe kibali TFF, Bodi ya ligi na image rights kwa wachezaji wa timu zote na watangazaji
 
Huko kote mnaenda mbali sana....Tuanzie kwenye technicality...
  • Modelling ya hizo objects kuwa binadamu
  • Rigging
  • Motion capture
  • Voicing n.k
JJe,kuna studios zenye hiyo capabilities hapa Tanzania....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…