Asante Boss,...tatizo jina lina K then linaishia na NDU, huoni nitafikiriwa vibaya?
Nijulisha maana ya KIRUNDU boss.Hahahahaha ungejua maana ya KIRUNDU hata usingefikiria kulitumia maana sometime majina yanamba
ni samaki flani hv bahariniLinamaanisha nini? isijekuwa tusi.
Poa Boss.ni samaki flani hv baharini
Loh! jina kubwa hilo mkuu.Babajessika
Asante sana Mkuu....nitachukua moja ya jina lako.Wasakatonge
Akheri ungesema muhogo.Kitumbua
Nakushauri usome sheria za jf kwani hairuhusiwi kutumia ID mbili mkuu, unaruhusiwa kubadili ID na sio kuwa na id mbili ChudaMabibi na Mabwana wa jukwaa Salaam.
Umekuwepo uhitaji wa kuwa na ID ya pili kutokana na sababu zilizopo nje ya uwezo wangu.
Tatizo napata shida ya kubuni username bandia, nimekuja kwenu kuomba ushauri.
Je ungependa niipe hii ID mpya jina gani?,,,,,,,Karibuni kwa mapendekezo.