Nataka kutengeneza milioni 100tsh!

Madera unayosema naweza kununua nje kwa bei isiyozidi 2000tsh
 
Nilitaka kusema ni kiduku lilo amekuja na ID nyingine, lakini sentensi za mwisho zimenifungua unachofikiri.

Ngoja wajuzi zaidi waje.
Kila kitu kinawezekana.
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Kwa Kiduku Lilo Tsh milioni 100 hata hela za kumtuma mboga Housegirl Paris hazijafika.
 
Reactions: amu
Asante kwa kunielewa mkuu
Kumbuka mtoa mada ameweka limit ya miezi sita (6)

Sio lazima atengezene hiyo 100M kwa mkupuo mmoja, anaweza kuwa ma mtaji mdogo akazungusha kwa juhudi kubwa bila kukata tamaa, within six month alizojiwekea kama deadline akawa amefanikisha lengo.
 
Usiwe mvivu wa kufikiri,kama wewe unategemea connection ili utuke soon utaolewa
 
Well said mkuu
 
Mkuu tukileta mawazo ya kutoka wengi wanaishia kusema haiwezekana kwa vile umaskini unaanzia kwenye fikra,tofauti inayotenga kati ya maskini na tajiri ni maarifa
Angalau hii post imefikirisha ... Bravo.. Challenge..
 
Nimeweka miezi sita ili kuona nitafikia malengo kwa asilimia ngapi then ndio nitapata tathimini itanichukua muda gani
 
Sema kweli hii inawezekana ila inahitaji kung'amua jambo vibaya sana.

Angalia uzi wa ONTARIO alotengeneza 20M kwa mwezi mmoja sasa kwa ratio ya miezi 6 si 120M iyo.....

Endelea kuchoma ubongo....hapa unahitaji bidhaa/huduma utakayouza kwa volume kubwa sana na ili uuze kwa big volume (idadi kubwa ya Wat u) inabidi iwe ni hitajio haswa la watu rejelea uwo uzi wa 20M kwa mwezi jamaa alikuwa analima mahekari 200h...100 ile ni volume kubwa most... Pili au bidhaa isiwe itajio kivile ila iwe inashawishi ndio mfano Dela uuze kwa 3000/= mtaani hakuna mwanamke wamtaani atakosa kununua so utauza in Big volume.

Tuendelee ku-Push brain....
 
Ulichosema ni kweli kabisa!,
 
Mkuu kama upo serious na hela unayo mkononi now

Biashara ya kununua mahindi vijijini kwenye mikoa ya Mbeya, ruvuma, rukwa, Njombe then unauza kwenye mikoa yenye ukame lazma utapata hiyo hela Chini ya miezi sita

Mf rukwa debe la mahindi ni 5k_6k kwa gunia la debe 10= 50k

Ukisafirisha mpaka mikoa ya kanda ya ziwa au nje ya nchi haipungui 120k kwa gunia la debe 10
 
biashara ya mtaji mkubwa inafaida kubwa na ni nyingi za uhakika
laiti kama mikopo bank wangekuwa wanatoa kwa kuweka rehani moyo wako
basi ningechukua mil 50 na ningezilipa zote baada ya mwezi mmoja

ningeweza kukopa milio 300 ndani ya miezi sita ningekuwa nimelipa zote kwa mwaka nafunga hesabu ya 3Bil as profit

shida hakuna mwenye pesa atakupa pesa
unahitaji uanze wewe kuikuza pesa yako binafsi
 
Mkuu usilete makuzi na Biashara kilamtu angekuwa millionaire kwa ratio izo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…