Ccc
Member
- Jul 23, 2019
- 85
- 155
Bado umelala, amkaakwa bongo hii, hakuna biashara ya hivyo, mtaji milioni 10, kwa mwezi ukijitaidi sana labda faida milioni 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado umelala, amkaakwa bongo hii, hakuna biashara ya hivyo, mtaji milioni 10, kwa mwezi ukijitaidi sana labda faida milioni 1
mmmmh hii hesabu ni pasua kichwaYaani kwa hesabu za haraka haraka,
kwa watu 5000, faida ya elfu 25, kama profit margin yako ni 30%, ina maana hapo kila bidhaa moja ni kama 83 elf hiv, ambapo kwa za kutosha watu 5000, mtaji wake ni Ml 400 hiv
Yaani ili uuze bidhaa moja kwa watu 5000, zitakzo kuingizia faida ya shillingi 25000, kila bidhaa, ili uweze kutengeneza walau million 125 hiv, unahitaji kuwa na mtaji wa shillingi walau million 415 hiv kwani kila bidhaa itakayo kuingiza faida ya shillingi 25000, makadirio ya kawaida yanaonesha kuwa itakucost wewe kwenye 83000 hivimmmmh hii hesabu ni pasua kichwa
Haisomeki
unaweka rehani moyo wako bank, then ukifeli kurejesha mkopo, wanakata kichwa chako kama collateralbiashara ya mtaji mkubwa inafaida kubwa na ni nyingi za uhakika
laiti kama mikopo bank wangekuwa wanatoa kwa kuweka rehani moyo wako
basi ningechukua mil 50 na ningezilipa zote baada ya mwezi mmoja
ningeweza kukopa milio 300 ndani ya miezi sita ningekuwa nimelipa zote kwa mwaka nafunga hesabu ya 3Bil as profit
shida hakuna mwenye pesa atakupa pesa
unahitaji uanze wewe kuikuza pesa yako binafsi
Yaani ili uuze bidhaa moja kwa watu 5000, zitakzo kuingizia faida ya shillingi 25000, kila bidhaa, ili uweze kutengeneza walau million 125 hiv, unahitaji kuwa na mtaji wa shillingi walau million 415 hiv kwani kila bidhaa itakayo kuingiza faida ya shillingi 25000, makadirio ya kawaida yanaonesha kuwa itakucost wewe kwenye 83000 hivi
biashara ya mtaji mkubwa inafaida kubwa na ni nyingi za uhakika
laiti kama mikopo bank wangekuwa wanatoa kwa kuweka rehani moyo wako
basi ningechukua mil 50 na ningezilipa zote baada ya mwezi mmoja
ningeweza kukopa milio 300 ndani ya miezi sita ningekuwa nimelipa zote kwa mwaka nafunga hesabu ya 3Bil as profit
shida hakuna mwenye pesa atakupa pesa
unahitaji uanze wewe kuikuza pesa yako binafsi
Labda ukabeti,Ndoto yangu ni kutengeneza usd 50,000$ ndani ya miezi sita!inaweza kuwa ni ngumu lakini inawezekana kabisa kama ukitumia Juhudi,nguvu na maarifa ya kibabe zaidi!
Ni ukweli usiopingika kwa maisha ya kibongo bongo ukipata milioni 120 unaweza ukapunguza kabisa ukali wa umaskini,mfano hapo unaweza ukawa na nyumba ya milioni 30,gari ndogo tu yakufanyia shughuli zako milioni 15,na ukabaki na milioni 85 za kuendesha biashara zako!
Sasa hapo napiga mahesabu ni kitu gani utawauzia watu 5000 ambacho utapata faida ya dola 10 kwa kila kichwa!!!!?
Ama ni huduma gani unaweza ukafanyia watu 5000 kila mmoja akakupatia kiasi cha 10usd!!?
Idadi ya watanzania ni takribani milioni 50+
Lkn watu 5000 tu wanaweza kubadilisha maisha yetu Mimi na wewe!
Watu 5000 ni sawa na kupata watu 200 kila mkoa
shda n pale unapodakwa na kupewa kesi ya uhujumu uchumi ....kwan unafikiri watu hatupendi kutoka yaan sometyme nafikiriaga nijiunge na c*m nianze kusifia ili na mm niwe waziri[emoji54]Fanya hizi biashara utatoka chap..
Uza dawa za kulevya.
Uza mali asili kama pembe za ndovu.
Uza binadamu.
Uza vipodozi vyenye mercury.
Lete mrejesho baada ya huo muda, utaikopesha tz.
Biashara halali utachukua mda mrefu, huo hautoshi.
Nb: Unatakiwa uwe na connection za maana SANA.
mwanangu serikalin patamu ndo mana kuna ushindani mkaliIngia serikalini kapige rushwa.
Hio pesa ni fasta sana serikalini ukiwa mla rushwa.
Jiulize incharge wa kodi bandarini anashindwa kulaza 1m kwa siku from rushwa??
@kuduku lilo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu jamaa ni vunja mbavuKwa Kiduku Lilo Tsh milioni 100 hata hela za kumtuma mboga Housegirl Paris hazijafika.
Kila baraza linahitaji vituko, hatuwezi wote kujadili global warming.@kuduku lilo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu jamaa ni vunja mbavu
Maana yangu nii kakaUmenifurahisha eti Bank wangetoa mkopo kwa kuweka rehani/Dhamana ya Roho [emoji16][emoji16][emoji16][emoji38], Siku ukishindwa kulipa wanakuua au ?