agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Yaani kwa hesabu za haraka haraka,impossible,unaongelea faida ya dola kumi ambayo ni sawa na karibu elfu 25,
itahitaji mtaji mkubwa mno ili uweze kuzalisha hiyo faida kwa watu 5000 tu,
fanya watu elfu 20,
faida iwe tsh 5000,
Ndoto yangu ni kutengeneza usd 50,000$ ndani ya miezi sita!inaweza kuwa ni ngumu lakini inawezekana kabisa kama ukitumia Juhudi,nguvu na maarifa ya kibabe zaidi!
Ni ukweli usiopingika kwa maisha ya kibongo bongo ukipata milioni 120 unaweza ukapunguza kabisa ukali wa umaskini,mfano hapo unaweza ukawa na nyumba ya milioni 30,gari ndogo tu yakufanyia shughuli zako milioni 15,na ukabaki na milioni 85 za kuendesha biashara zako!
Sasa hapo napiga mahesabu ni kitu gani utawauzia watu 5000 ambacho utapata faida ya dola 10 kwa kila kichwa!!!!?
Ama ni huduma gani unaweza ukafanyia watu 5000 kila mmoja akakupatia kiasi cha 10usd!!?
Idadi ya watanzania ni takribani milioni 50+
Lkn watu 5000 tu wanaweza kubadilisha maisha yetu Mimi na wewe!
Watu 5000 ni sawa na kupata watu 200 kila mkoa
Haha ngoja nianze kuuza vipodozi sasaFanya hizi biashara utatoka chap..
Uza dawa za kulevya.
Uza mali asili kama pembe za ndovu.
Uza binadamu.
Uza vipodozi vyenye mercury.
Lete mrejesho baada ya huo muda, utaikopesha tz.
Biashara halali utachukua mda mrefu, huo hautoshi.
Nb: Unatakiwa uwe na connection za maana SANA.
Huu sio Uzi wa mapenzi pita kushotoMkuu usilete makuzi na Biashara kilamtu angekuwa millionaire kwa ratio izo.
Nilipata random thoughts mwaka jana June 2018 hakika nilitesa akili yangu sana kutafuta ways out nakuwaza wateja intervals mwisho nikawaza kutengeneza product ambayo wateja watainunua ambayo itakuwa repeatedly bila kunilazimu kukuza eneo la biashara mfano wilaya mkoa ama ukanda.
Ni mwanzo mzuri nashauri andika kwenye kitabu kisha ulifanyie kazi kwa miezi kadhaa binafsi sijafanikisha bado ila nina vitu nilivyovifanyia kazi naamini muda ukifika nitafanikisha kwa kiwango fulani.
Ukipata jibu lifanyie kazi upesi kwani unapohisi wazo ni lako na ni jipya kuna watu zaid ya 500 duniani wanaweza kuwa na wazo kama lako na kulifanyia kazi hivyo ukichelewa wewe ndio unakuja kuonekana umekopi
Ila Leo umeandika ya maana sana
Mkuu, umesema 2000???Madera unayosema naweza kununua nje kwa bei isiyozidi 2000tsh
Acha utani mtaji wa 10M mwezi upate 1M itakuwa ujachanga vizuri karata.kwa bongo hii, hakuna biashara ya hivyo, mtaji milioni 10, kwa mwezi ukijitaidi sana labda faida milioni 1
kwa bongo hii, hakuna biashara ya hivyo, mtaji milioni 10, kwa mwezi ukijitaidi sana labda faida milioni 1
Sileti makuzi angalia nyuzi zangu utaelewa ndugu,Mkuu usilete makuzi na Biashara kilamtu angekuwa millionaire kwa ratio izo.
Acha utani mtaji wa 10M mwezi upate 1M itakuwa ujachanga vizuri karata.
Uko sahihi sana mkuu. Very bright idea akiifanya hii akiwa na capital ya 5000usd atafikia lengo lake.Mkuu kama upo serious na hela unayo mkononi now
Biashara ya kununua mahindi vijijini kwenye mikoa ya Mbeya, ruvuma, rukwa, Njombe then unauza kwenye mikoa yenye ukame lazma utapata hiyo hela Chini ya miezi sita
Mf rukwa debe la mahindi ni 5k_6k kwa gunia la debe 10= 50k
Ukisafirisha mpaka mikoa ya kanda ya ziwa au nje ya nchi haipungui 120k kwa gunia la debe 10