Nataka kutengeneza milioni 100tsh!

Yaani kwa hesabu za haraka haraka,
kwa watu 5000, faida ya elfu 25, kama profit margin yako ni 30%, ina maana hapo kila bidhaa moja ni kama 83 elf hiv, ambapo kwa za kutosha watu 5000, mtaji wake ni Ml 400 hiv
mmmmh hii hesabu ni pasua kichwa
Haisomeki
 
mmmmh hii hesabu ni pasua kichwa
Haisomeki
Yaani ili uuze bidhaa moja kwa watu 5000, zitakzo kuingizia faida ya shillingi 25000, kila bidhaa, ili uweze kutengeneza walau million 125 hiv, unahitaji kuwa na mtaji wa shillingi walau million 415 hiv kwani kila bidhaa itakayo kuingiza faida ya shillingi 25000, makadirio ya kawaida yanaonesha kuwa itakucost wewe kwenye 83000 hivi
 
unaweka rehani moyo wako bank, then ukifeli kurejesha mkopo, wanakata kichwa chako kama collateral
 
Umeshawahi kufanya biashara wewe?
 
Umenifurahisha eti Bank wangetoa mkopo kwa kuweka rehani/Dhamana ya Roho [emoji16][emoji16][emoji16][emoji38], Siku ukishindwa kulipa wanakuua au ?
 
Labda ukabeti,
 
shda n pale unapodakwa na kupewa kesi ya uhujumu uchumi ....kwan unafikiri watu hatupendi kutoka yaan sometyme nafikiriaga nijiunge na c*m nianze kusifia ili na mm niwe waziri[emoji54]
 
Ingia serikalini kapige rushwa.
Hio pesa ni fasta sana serikalini ukiwa mla rushwa.
Jiulize incharge wa kodi bandarini anashindwa kulaza 1m kwa siku from rushwa??
mwanangu serikalin patamu ndo mana kuna ushindani mkali
 
Umenifurahisha eti Bank wangetoa mkopo kwa kuweka rehani/Dhamana ya Roho [emoji16][emoji16][emoji16][emoji38], Siku ukishindwa kulipa wanakuua au ?
Maana yangu nii kaka
Mara nyingi biashara za mikopo midogo midogo sio za uhakika sana ukiringanisha na biashara za mitaji mikubwa
nirahisi mtu aliyekopa mil 10 kushindwa katika biashara tofauti na yule aliyekopa milion 100

issue inakuja tu ni how possible kwa biashara yako ambayo inawekea pesa,

na kuna aina na aina za biashara kulingana na eneo na kiwango cha uwekezaji

kwahiyo maana yangu ni hii endapo nigeweza kupata mkopo wa kiasi kikubwa cha pesa kuanzia kama hata mili 150 nirahisi zaidi kusimamisha biashara ukilinganisha na anayekopa mil 1

sasa shida vigezo vya kukopa ndio vinafanya vijana wengi tushindwe kuendelea mbele sababu unauwezo wakuizalisha pesa ila hauna sifa ya kukopesheka,

sasa katika pointi ni kwamba endapo ingekuwa mikopo haiangalii vigezo tu ambavyo wao wanaviweka kwasasa wakakuamini wewe kama wewe ingesaidia

ila haya mambo unakopa laki 3 unalipa na riba juu mara kimeenda kimerundi ni ishue sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…