Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

Endesha mwenyewe gari yako, tafuta tender za wazungu. Connection unayo, kula na mameneja wa hoteli wakupe kazi.
 
Tuliza akili bwana mdogo usiuze hizo mali embu jipe muda dogo , au umeyasahau ya kwetu Tandika ? Achana na biashara za kupaniki tulia kwanza mwanakwetu
 
Msomi wa Chuo Kikuu anaandika 'share older badala ya 'Share holder, "Dolar"badala ya Dollar.
Aah hii elimu yetu Mungu atunusuru tu.
 
Msomi wa Chuo Kikuu anaandika 'share older badala ya 'Share holder, "Dolar"badala ya Dollar.
Aah hii elimu yetu Mungu atunusuru tu.
Mkuu nilichugunduwa kuna baadhi ya watu wanapochanganya lugha wakti wa kuandika .. mfano kiswahili na kingereza .. lazima wachapie wanachokiandika ni kama wanataka kuliandika neno kwa kiswahili na kingereza kwa wakati mmoja
 
M
Msomi wa Chuo Kikuu anaandika 'share older badala ya 'Share holder, "Dolar"badala ya Dollar.
Aah hii elimu yetu Mungu atunusuru tu.
Mkuu Kumbuka.ukiwa na tatizo stress zinajaa,please mpe ushsuri
 
kwa hawa jamaa walivyo wabaguzi na maskini wa roho ningekushauri uza rudi nyumbani ila ujitahidi uishi maisha ya kawaida sana wakati ukijipanga kuwekeza.
kwa sasa mpunga ushaanza kununuliwa ukinunua hata stock ya 30m utakuwa mbali na soko lako ni hilo ulilotoka kwakuwa hotel nyingi unazijua.
 
Hizi Dini tumeletewa tu na wala hakuna Dini itakayompeleka mtu mbinguni, kwanza asilimia kubwa hatujachangua Dini tuliyopo tumefata Dini za wazazi wetu Mimi nikifika maeneo Kama hayo na nikaona salama yangu ni kubadili Dini Hata sijiulizi Mara mbili.
😂😂 ni kweli kabisa cha msingi mambo yako yaende
 
Rudi tuu ndugu...huko sio baada ya yule mbunge kusema mmejaa sana huko zanzibar itajaa wkt eti ni ndogo
 
Hongera kwa upambanaji.
Ulitumia mbinu zipi kupata wateja wa kiwanja?
 
Mkuu nilichugunduwa kuna baadhi ya watu wanapochanganya lugha wakti wa kuandika .. mfano kiswahili na kingereza .. lazima wachapie wanachokiandika ni kama wanataka kuliandika neno kwa kiswahili na kingereza kwa wakati mmoja
Na hili ni tatizo hata kwenye mambo ya kiofisi wanaandika lugha zisizoeleweka.

Ukisikiliza majibu ya Naibu Spika wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi utaona makosa mengi ya kisarufi ma mantiki mengi sana kwenye hoja zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…