Nataka kuuziwa mzigo kwenye Gunia

Nataka kuuziwa mzigo kwenye Gunia

kabila01

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2009
Posts
4,235
Reaction score
4,964
Wana JF nisaidieni kuna Demu nimelala nae mwezi wa 5 tarehe 28. harafu mwezi wa 12 ananiambia amejifungua mtoto wangu. Hapo nikipiga hesabu ya miezi naona haifiki 9 kabisa.
 
dahhhh
mkubali mtoto ...cz SI WAKO KIUKWELI
WE MKUBALI TU UKIJUA KUNA SIKU ATAKUAMBIA SI WAKO SO MTAANZIA APO IYO KES LAKIN kwa sasa usibishe na wala utakiwi kubshana na mrongo km uyo...pole
mtoto si wako.
we nae ilikuwaje ukapiga kavu sweeeeeeetie na lilijitu lisilokuwepo kwenye program zako baba?
pole lakin
 
Labda mtoto wa miezi saba.

Kapime DNA ili kujiridhisha.

Note: ikiwa mtoto ni wako kweli na mshapima DNA italeta friction kwenye penzi lenu kama lipo

P.S
Hamkutumia kinga? Halahala mti na macho, usije lia umeambukizwa VVU siku nyengine
 
Wana JF nisaidieni kuna Demu nimelala nae mwezi wa 5 tarehe 28. harafu mwezi wa 12 ananiambia amejifungua mtoto wangu. Hapo nikipiga hesabu ya miezi naona haifiki 9 kabisa.

!!!
 
dahhhh
mkubali mtoto ...cz SI WAKO KIUKWELI
WE MKUBALI TU UKIJUA KUNA SIKU ATAKUAMBIA SI WAKO SO MTAANZIA APO IYO KES LAKIN kwa sasa usibishe na wala utakiwi kubshana na mrongo km uyo...pole
mtoto si wako.
we nae ilikuwaje ukapiga kavu sweeeeeeetie na lilijitu lisilokuwepo kwenye program zako baba?
pole lakin

Nikimkubali saizi ina maana ntaendelea kumlea hadi hapo utakapokuja kujulikana ukweli huoni kama utakua mzigo kwangu?
Jambo lingine tokea akiwa mjamzito hadi amejifungua hajawahi kuniambia hizo habari nazisikia tu mtaani kwa watu akijisifia kua amezaa na mimi. na kuna kipindi alikwenda hadi nyumbani kwa wazazi wangu, alienda na mtoto akijitapa kua ni mtoto wangu lakini mimi haniambi chochote. hapo tena nazidi kua na mashaka
 
Wana JF nisaidieni kuna Demu nimelala nae mwezi wa 5 tarehe 28. harafu mwezi wa 12 ananiambia amejifungua mtoto wangu. Hapo nikipiga hesabu ya miezi naona haifiki 9 kabisa.

amezaa mtoto njiti nn?
 
Wana JF nisaidieni kuna Demu nimelala nae mwezi wa 5 tarehe 28. harafu mwezi wa 12 ananiambia amejifungua mtoto wangu. Hapo nikipiga hesabu ya miezi naona haifiki 9 kabisa.

Hii inanifanya nizidi kuamini kuwa matumizi ya kondomu yanahitaji kupigiwa debe kwa hali ya juu kabisa,
KWELI KONDOM HAIKUBALIKI!!!!!!!!!!
 
Nikimkubali saizi ina maana ntaendelea kumlea hadi hapo utakapokuja kujulikana ukweli huoni kama utakua mzigo kwangu?
Jambo lingine tokea akiwa mjamzito hadi amejifungua hajawahi kuniambia hizo habari nazisikia tu mtaani kwa watu akijisifia kua amezaa na mimi. na kuna kipindi alikwenda hadi nyumbani kwa wazazi wangu, alienda na mtoto akijitapa kua ni mtoto wangu lakini mimi haniambi chochote. hapo tena nazidi kua na mashaka
ahh kumbe ni TETESI?
asi ajakuambia mwenyewe..we unafanya kuskia tu mtaani....IVI KWELI ANGEKUWA MTOTO WAKO UNAZANI ASINGEKUAMBIA??..kibongo bongo ivi ASINGEKUAMBIA ILI UMPE TAFU YA NEP ZA MTOTO?
ahh achana na drama wewe...anajitapa kazaa na wewe kwa maslahi yake/kutaka ujiko labda we unatisha apo mtaani so anajitapa kazaaa na wewe aonekane babu kubwa...ACHANA NA IZO NDOTO.
 
Hii inanifanya nizidi kuamini kuwa matumizi ya kondomu yanahitaji kupigiwa debe kwa hali ya juu kabisa,
KWELI KONDOM HAIKUBALIKI!!!!!!!!!!

Mbona juzi ulikataa kuvaa?
 
mnh..kama hukutumia kinga ni uzembe wako kubali kulea mtoto huyo acha kuepuka wajibu.:alien:
 
:boom::boom:

hahha hahhah roy umenichekesha wewe!!!!!!!!!
lov uuuuuuuuuuuuuuuu ur one n only beb boy ....SHAKA ONDOA KWANGU
BACHA ANALINDA GETTU WEWE UNALALA NDANI!!!!!!!!
 
Na siku zote mlinda geti huwa anaijua vizuri sana ratiba ya father house,
kazi yangu ni kujazia tu pale penye mapungufu!
MPANGO WA NJE!!!!!!
 
Heheheee.....habari ya ulinzi bana....
 
Back
Top Bottom