Pompoo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 362
- 41
Mimi nataka kuvusha kwa kua sina certificate ya form 6..
Duuh!! Nilitaka ni quote jina lako ila nimeshindwa! Sasa mkuu kwan kuna form6 wa 2013 mwenye certificate ya form6?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nataka kuvusha kwa kua sina certificate ya form 6..
Asante Sana Mkuu Tamatheo .. Vp na kule bodi watanielewa?
Board ili watoe mkopo wanapewa taarifa na chuo hivyo hapa watawaambia umepata dharura na utaanza mwakani hivyo hilo halina tabu, pia usisahau kuongea na wahusika ili upewe utaratibu mzuri hapo chuoni kwako.
Ndo ushauri huo uliompa au .Mijitu mingne bhana ovyooo
cutt off point au?
Habari zenu Wakuu .. Nataka kuvusha mwaka wa Masomo.. Yaani Nisiende chuo nitakachopangwa mwaka huu na badala yake nifanye application upya Mwakani.. Jee bodi ya Mkopo na TCU Watanielewa?
njia za kupost pone mwaka inategemea chuo na chuo ila vyuo vng n mpaka ulipe kiasi cha ada uwe registered chuon then unaomb kupost pone ila mimi nakushaur uend maana kila miaka inavyoenda sector ya elimu inazd kuwa mbovu au kama unapoint nzur achana na kupost pone ukaingia gharama we subir mwakani uombe upya ndg
kwann una mkuu? Unaanza kunipa was was na matokeo yako ya 4m 4 au umeiba jna
Vile vile nakushauri usiache kwenda kwa kutegemea utaomba upya..
Kumbuka umeshapata so nenda ureserve nafasi yako chuoni.
Ukiacha hujui miaka ijayo condition za kupata kama zitakupa nafasi tena.
Duuh!! Nilitaka ni quote jina lako ila nimeshindwa! Sasa mkuu kwan kuna form6 wa 2013 mwenye certificate ya form6?
yaani hata leaving wamekataa kutoa pamoja na result slip
Sasa mkuu jaribu kuonana na Mwl uliyekua unapatana nae hapo school kwenu then muombe akudhamin upate result slip.. Nasikia Hupokelewa chuo bila hii kitu
reason ya kuacha kwenda chuo ni ipi mkuu Raby
Mkuu kuna mambo hayajakaa sawa kwa upande wangu so naona kama sitaweza soma kwa amani..
Raby Kaka be free tu kuwaambia wadau hizo sababu ili wakusaidie vizuri lakini zikiwa so secret sio lazima utwambie wazi
Nakubaliana na reason zako Raby Kaka
mimi nina kaka yangu alikosa chuo ilikua 2011 lakini alipoapply 2012 akapata chuo UDOM lakini mkopo hakupata sijui ilikua sababu gani yeye alisoma PCM