Raby Kilua
Senior Member
- Jul 12, 2013
- 128
- 23
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Pompoo Me nitavusha tu huu mwaka coz sababu zangu hazizuiliki!!! Asanten kwa ushauri na maelekezo mazuri sasa nimeshafahamu pakuanzia
boom lako ntapewa mm
Kijana hataki kuonja utamu wa boom kwa huu mwaka!!! Anyway asubiri hapo mwakani me nimeona board wanaweza ninyima mijihela mwakani
Duuuh!!! Nitasoma vibaya sana 1st yr.. But potelea mbali nitavusha mwaka tu na kama ingewezekana kubalishana vituo basi ningebadilishana na M2 yyte aje DUCE!! Halaf me niende Mk karibu na ndugu kwa mwaka huu wa matatizo
Kuhairisha mwaka ni kitu cha kawaida sana usihofu unachotakiwa ni kuripoti then unafuta taratibu zinazohitajika kutokana na chuo ila uwe na sababu za msingi kufanya hivyo kwa mfano kukosa mkopo auugonjwa
Duuuh!!! Nitasoma vibaya sana 1st yr.. But potelea mbali nitavusha mwaka tu na kama ingewezekana kubalishana vituo basi ningebadilishana na M2 yyte aje DUCE!! Halaf me niende Mk karibu na ndugu kwa mwaka huu wa matatizo
Sasa mkuu kama mwakani nataka kusoma chuo kingine tofauti na hiki cha mwaka huu pia watanielewa nikiomba upya?
Hapo kuama chuo ni suala lingine unatakiwa kucheza na tcu na heslb pamoja na chuo ulichopangiwa ili upate utaratibu.
Mimi ninachokijua ni kuahirisha mwaka then unarudi palepale ulipopangiwa.
Ila usipofanya makubaliano na hizo taasisi nilizozitaja moja kwa moja utakua disqualified
c bure w
Ni matatizo mkuu
ok pole