Nataka Kuvusha Mwaka Wa Masomo

Asante Sana Mkuu Tamatheo .. Vp na kule bodi watanielewa?

Board ili watoe mkopo wanapewa taarifa na chuo hivyo hapa watawaambia umepata dharura na utaanza mwakani hivyo hilo halina tabu, pia usisahau kuongea na wahusika ili upewe utaratibu mzuri hapo chuoni kwako.
 
Asante sana.!! Umenielewesha vizuri kwakweli!! Ngoja niyafanyie kazi mawazo haya muhimu
 
Ndo ushauri huo uliompa au .Mijitu mingne bhana ovyooo

kwani ushauri lazima uweje? hata kumkumbusha wajibu wake wa msingi aliotakiwa kuuzingatia toka mapema ni muhimu " tunashughulika na ulipojikwaa sio ulipoangukia'.
 
Habari zenu Wakuu .. Nataka kuvusha mwaka wa Masomo.. Yaani Nisiende chuo nitakachopangwa mwaka huu na badala yake nifanye application upya Mwakani.. Jee bodi ya Mkopo na TCU Watanielewa?

Nenda karipoti na ukamilishe registrstion.
Then fuatilia utaratibu wa kuahirisha masomo kwa Dean wako na uhairishe.
Pia kama umepata mkopo utakazimika kuwasiliana na bodi kama watareserve mkopo wako au la. Kila chuo kuna mwakilishi wa bodi so utaanzia hapo.
Kumbuka huwezi ahirisha madomo bila kumaliza registration.
 
Vile vile nakushauri usiache kwenda kwa kutegemea utaomba upya..
Kumbuka umeshapata so nenda ureserve nafasi yako chuoni.
Ukiacha hujui miaka ijayo condition za kupata kama zitakupa nafasi tena.
 
njia za kupost pone mwaka inategemea chuo na chuo ila vyuo vng n mpaka ulipe kiasi cha ada uwe registered chuon then unaomb kupost pone ila mimi nakushaur uend maana kila miaka inavyoenda sector ya elimu inazd kuwa mbovu au kama unapoint nzur achana na kupost pone ukaingia gharama we subir mwakani uombe upya ndg
 
Sasa Mkuu ukitaka kupost pone mwaka hakuna taarifa yoyote unaitoa kwenye chuo ulichopangwa au HESLB?
 
kwann una mkuu? Unaanza kunipa was was na matokeo yako ya 4m 4 au umeiba jna

form 4 nilifaulu mkuu lakini shule ya advance nadaiwa pesa hivo clearance yangu ina magap ya kutosha
 
Vile vile nakushauri usiache kwenda kwa kutegemea utaomba upya..
Kumbuka umeshapata so nenda ureserve nafasi yako chuoni.
Ukiacha hujui miaka ijayo condition za kupata kama zitakupa nafasi tena.

Asante sana mkuu onduru ogy kwa kunisaidia haya mawazo
 
Last edited by a moderator:
Duuh!! Nilitaka ni quote jina lako ila nimeshindwa! Sasa mkuu kwan kuna form6 wa 2013 mwenye certificate ya form6?

yaani hata leaving wamekataa kutoa pamoja na result slip
 
Sasa mkuu jaribu kuonana na Mwl uliyekua unapatana nae hapo school kwenu then muombe akudhamin upate result slip.. Nasikia Hupokelewa chuo bila hii kitu

ntajaribu mkuu nione lakini sidhani.
 
Mkuu kuna mambo hayajakaa sawa kwa upande wangu so naona kama sitaweza soma kwa amani..

Raby Kaka be free tu kuwaambia wadau hizo sababu ili wakusaidie vizuri lakini zikiwa so secret sio lazima utwambie wazi
 
Last edited by a moderator:
Raby Kaka be free tu kuwaambia wadau hizo sababu ili wakusaidie vizuri lakini zikiwa so secret sio lazima utwambie wazi

Mkuu Mambaenock Ni kweli ningekua muwazi kwa yote.. Lakini kubwa ni Kwamba mwaka huu sikujipanga vyema katka chaguzi zangu halafu ni miongoni mwa wale tuliofanya Second round Application so nikajikuta Najaza tu kozi yoyote sababu zile koz nzur zilishajaa.. Sababu nyingine naweza sema ni secret nisingependa kuiweka hapa.. Wasiwas wangu ni kuhusu kuomba upya mwakani je itakuaje? Ndo maana nikaona ni busara kuwashirikisha Great Thinkers kutoka JF ingawaje kuna wengine wanaleta sana utani bila kujua kwamba mtoa thread anaomba asaidiwe na sio akashifiwe
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na reason zako Raby Kaka
mimi nina kaka yangu alikosa chuo ilikua 2011 lakini alipoapply 2012 akapata chuo UDOM lakini mkopo hakupata sijui ilikua sababu gani yeye alisoma PCM
 
Mwe!!!! Bas kwa upande wangu Nimebadili mawazo itanibidi niende chuo tu!! Nitasoma hivyohivyo na Mawazo but Mungu atasaidia!! kukosa mkopo hatari sana kwangu. Kazi kwako Raby Kaka
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…