Nataka Kuvusha Mwaka Wa Masomo

Mkuu Pompoo Me nitavusha tu huu mwaka coz sababu zangu hazizuiliki!!! Asanten kwa ushauri na maelekezo mazuri sasa nimeshafahamu pakuanzia
 
Last edited by a moderator:
Duuuh!!! Nitasoma vibaya sana 1st yr.. But potelea mbali nitavusha mwaka tu na kama ingewezekana kubalishana vituo basi ningebadilishana na M2 yyte aje DUCE!! Halaf me niende Mk karibu na ndugu kwa mwaka huu wa matatizo
 
kwani wew unataka ubadilishane na mtu toka mkoa gani?
 
Kuhairisha mwaka ni kitu cha kawaida sana usihofu unachotakiwa ni kuripoti then unafuta taratibu zinazohitajika kutokana na chuo ila uwe na sababu za msingi kufanya hivyo kwa mfano kukosa mkopo auugonjwa
 
Sasa mkuu kama mwakani nataka kusoma chuo kingine tofauti na hiki cha mwaka huu pia watanielewa nikiomba upya?
 
Duuuh!!! Nitasoma vibaya sana 1st yr.. But potelea mbali nitavusha mwaka tu na kama ingewezekana kubalishana vituo basi ningebadilishana na M2 yyte aje DUCE!! Halaf me niende Mk karibu na ndugu kwa mwaka huu wa matatizo

tehtehteheteh!!!! Umenifurahisha kweli Afande Pompoo !! Hilo swala la kubadilishana sidhani kama lipo!! Tujumuike pamoja kitaa then tutaenda jkt kuvutia nxt yr
 
Last edited by a moderator:
RABI wangoje wajuzi wa hayo mambo waje wengi humu jf ni wababaishaji..porojo za mdomoni nyingi kuliko kumbe hakuba lolote kichwani...wanajifanya gr8 thinkers kumbe ni gr8 sinkers

tehe tehe mhh mm napita tu
 
Last edited by a moderator:
Sasa mkuu kama mwakani nataka kusoma chuo kingine tofauti na hiki cha mwaka huu pia watanielewa nikiomba upya?

Hapo kuama chuo ni suala lingine unatakiwa kucheza na tcu na heslb pamoja na chuo ulichopangiwa ili upate utaratibu.
Mimi ninachokijua ni kuahirisha mwaka then unarudi palepale ulipopangiwa.
Ila usipofanya makubaliano na hizo taasisi nilizozitaja moja kwa moja utakua disqualified
 
Poa Mkuu Khlala nitafanya hivyo maana naona mambo yangu bado hayajakaa sawa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…